Meja Jenerali Isamuhyo
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 3,709
- 10,896
Julio kapiga kijembeKama niwakufa niwakufa tuuh!!, to be honest, hata makundi hatuvuki.
Julio anawakilisha kundi kubwa la watanzania wenye roho ya kiswahiliManeno ya Julio ni Sawa mtu mwenye roho ya inda, roho ya kwanini...
Julio akubaliwe tuu kwamba walifanya kazi kubwa timu ikafuzu lakini hawana mbinu ya kuitoa timu kutoka pale ilipo,
Pia inajulikana hao makocha wana wachezaji wao,
Unakuta Morocco ana wachezaji wake
Julio ana wachezaji wake
Watulie...
Unafki umekuja baada ya kufutwa kazi Stars 😂Unafiki huu
Wakati utasema bro!Julio kapiga kijembe
Jungu kubwa sanaMbn km jungu hilo
Aliyemchagua huyo julio kuwa kwenye benchi la timu ya taifa alikosea sana,hana ujuzi wowote,kazi yake ni kupiga domo tu“Kikubwa tuwaombee (Taifa Stars), Mwenyezi Mungu awasaidie wawe na nguvu ya ushindani. Nafikiri kwasababu bwana Gamondi anauwezo mkubwa kuliko (kocha) Morocco, Juma (Mgunda), kuliko Mimi, naamini kabisa sasa hivi tunaweza kufika Nusu Fainali (ya AFCON),
Jamhuri Kihwelu 'Julio'
Weka maoni yako🤣