Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 22,496
- 51,721
Wewe ni hemed?😂😂
Wewe ni hemed?😂😂
Maisha bila unafki hayaendi.Dah jinsi alivo kuwa anampamba yule jamaa Leo tena kahamia kwa upala aiseee haya maisha haya
Nani mwenye mbinu ya kuitoa timu hapo ilipo?Maneno ya Julio ni Sawa mtu mwenye roho ya inda, roho ya kwanini...
Julio akubaliwe tuu kwamba walifanya kazi kubwa timu ikafuzu lakini hawana mbinu ya kuitoa timu kutoka pale ilipo,
Pia inajulikana hao makocha wana wachezaji wao,
Unakuta Morocco ana wachezaji wake
Julio ana wachezaji wake
Watulie...