JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Leo umeongea kimpiraMayele yuko vizuri, ukimpa nafasi hakikosi.
Ushindani wa Phiri na Mayele ungechangamsha sana ligi.
Mayele angekuwa Simba wangemchezesha kama winga, pale kati akabaki Phiri. Napenda sana dribbling yake.Leo umeongea kimpira
Halafu haanguki hovyo. Huwa ananishangaza sana akiamua kupress na mpira kwenda golini, hata beki akimchallenge kimabavu, atakaza aende kufunga. Wachezaji wengi wa kitanzania kwenye mazingira hayo kuwa wanaanguka kwa kuzidiwa nguvu au kutafuta foul au penati.kama kunamtu atabisha huyo ajui mpira.
maombi yangu usiku na mchana ni jinsi gani timu yangu ya Simba anamchukua huyu Haaland wa Congo.
sifa nyingine ya Mayele hana majeraha ya mara kwa mara ukizingatia ni stricker anaekamiwa lakini anamaliza msimu akiwa hana majeraha ya muda mrefu au ya mara kwa mara.
Ndio.Halafu haanguki hovyo. Huwa ananishangaza sana akiamua kupress na mpira kwenda golini, hata beki akimchallenge kimabavu, atakaza aende kufunga. Wachezaji wengi wa kitanzania kwenye mazingira hayo kuwa wanaanguka kwa kuzidiwa nguvu au kutafuta foul au penati.
Mechi ya juzi yanga na kmc msize alikuwa anawatoka mabeki vizuri akifika eneo la mwisho anageuka kinyambe tk.Halafu haanguki hovyo. Huwa ananishangaza sana akiamua kupress na mpira kwenda golini, hata beki akimchallenge kimabavu, atakaza aende kufunga. Wachezaji wengi wa kitanzania kwenye mazingira hayo kuwa wanaanguka kwa kuzidiwa nguvu au kutafuta foul au penati.
Ila huyu pale Simba angechezeshwa kama winga. Okrah akicheza kama winga angeweza kuipa Simba baadhi ya vitu hivi alivyonavyo Mayele ila ndiyo hivyo mzaha mwingi.Ndio.
huyu ndo namba tisa wa asili sasa,namba tisa wa asili huwa awajiangushi kijanja janja kutafuta penati bali huwa anapambana ascore,kwasababu kwenye tuta kunakukosa au kupata.
Unamuongelea nani?Mechi ya juzi yanga na kmc msize alikuwa anawatoka mabeki vizuri akifika eneo la mwisho anageuka kinyambe tk.
Wachezaji wengine hawafundishiki hata nabi amesema ilo.
Kumchezesha kama winger unamuharibu na awezi kukupa kilicho bora mkuu.Ila huyu pale Simba angechezeshwa kama winga. Okrah akicheza kama winga angeweza kuipa Simba baadhi ya vitu hivi alivyonavyo Mayele ila ndiyo hivyo mzaha mwingi.
Huyu kumtoa pale Yanga ni ngumu sasa hivi, juzi juzi wametoka kumuongezea malipo yake maana walishaanza kunusa wahuni wanaweza kumnyakua.