Afrika Kusini: Kiongozi wa Upinzani Julius Malema ahukumiwa miaka 5 jela na kulipa faini

Afrika Kusini: Kiongozi wa Upinzani Julius Malema ahukumiwa miaka 5 jela na kulipa faini

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
Hukumu imetoka sasa hivi. Jela miaka 5 kwa kukutwa na silaha bila vibali, kuitumia bila vibali, kuhatarisha maisha ya wengine ..etc etc

Naona wana mitigate rufaa asiwekwe ndani mpaka rufaa yake itoke. Mahakama imekubali sentence appeal but not conviction

--------------

Malema.png

Kiongozi wa Chama cha Economic Freedom Fighters (EFF), Julius Malema, amehukumiwa kifungo cha miaka mitano jela kufuatia kesi yake ya mwaka 2018 inayohusu matumizi ya silaha.

Malema amepewa adhabu hiyo baada ya kupatikana na hatia ya kumiliki silaha na risasi kinyume cha sheria, kufyatua risasi katika eneo la makazi, kushindwa kuchukua tahadhari stahiki kulinda usalama wa watu au mali, pamoja na kufanya kitendo cha hatari kilichoweza kugharimu maisha ya watu au uharibifu wa mali.

=============
EFF leader Julius Malema has been sentenced to 5 years imprisonment in his 2018 firearm-handling case.

He was sentenced after he was found guilty of unlawful possession of a firearm and ammunition, discharge of a firearm in a built-up area, failure to take reasonable precautions to protect person or property, and reckless endangerment to person or property.

-----------------


Economic Freedom Fighters leader Julius Malema has been sentenced to five years direct imprisonment in his firearm handling and discharge case.

Malema appeared in the East London Regional Court for a second day in his highly publicised sentencing.

He was convicted of five counts last October including violating the Firearms Control Act after firing live rounds during his party's birthday celebrations in 2018.

Handing down her sentence in a packed court room, Magistrate Twanet Olivier said the court has had sufficient time to read, peruse, and digest what has been presented by the defence.

She said in reaching the verdict, the court considered several factors including the seriousness of the offence and that Malema was a first-time offender with no outstanding offences.

“The sentence imposed should fit the offender as well as the crime. It must be fair to society and blended with a measure of mercy according to the circumstances of each matter,” Olivier said ahead of sentencing.

She said it was “nonsensical” that the defence was “sugar coating” the discharge of the firearm as a celebratory shot, adding that Malema knew what he was doing was unlawful.

Olivier said the events that unfolded were pre-planned ahead of the EFF’s birthday bash celebrations.

“It wasn’t an impulsive act. It wasn’t anger. It was the event of the evening. It should take considerable planning for an event of that magnitude as to how, when, and exactly at what time you will take possession of the firearm and where you will fire it from. To reason any otherwise is nonsensical.”

“This decision has been made and it was made with the approval of the accused person and the leadership. The accused knew it would cause harm to persons or property and yet proceeded to possess the rifle and to fire the shot in celebration. This decision was made long before the actual event. Such acts cannot be condoned by this court in any instance and further justify the commission of crime that it was a celebration,” she added.

She added whether the discharge of the firearm was done in less than a minute, the impact remains the same.

Malema's lawyer said he would be appealing against the decision to prevent the leader of the Economic Freedom Fighters from being taken away to prison. The length of the sentence could see the 45-year-old being disqualified as an MP.

sentence breakdown:

Count 1:
Unlawful possession of firearm - 5 years imprisonment

Count 2: Unlawful possession of ammunition - 2 years imprisonment

Count 3: Discharging firearm in public – R20, 000 fine

Count 4: Failure to take reasonable precautions to person or property - R20, 000 fine

Count 5: Reckless endangerment to person or property - R20, 000 fine

Count 3, 4, 5 have an alternative of 6 months in prison if he can’t afford or pay the fines.

Source: News24 & eNCA
 
Hukumu imetoka sasa hivi. Jela miaka 5 kwa kukutwa na silaha bila vibali, kuitumia bila vibali, kuhatarisha maisha ya wengine ..etc etc

Naona wana mitigate rufaa asiwekwe ndani mpaka rufaa yake itoke
Wazungu bado wanaitawala South alisema Elon Musk sio mimi
 
Kiongozi wa chama cha Economic Freedom Fighters (EFF), Julius Malema, amehukumiwa kifungo cha moja kwa moja cha miaka mitano jela kufuatia kupatikana na hatia katika kesi ya umiliki na utumiaji wa silaha ya moto.
Malema alifikishwa katika Mahakama ya Mkoa ya East London kwa siku ya pili mfululizo kwa ajili ya kusikiliza hukumu katika kesi hiyo iliyovutia umakini mkubwa wa umma.

Akisoma hukumu hiyo katika ukumbi wa mahakama , Hakimu Twanet Olivier alisema mahakama imepata muda wa kutosha kupitia na kuchambua hoja zote zilizowasilishwa na upande wa utetezi.

Hakimu Olivier alieleza kuwa katika kufikia uamuzi huo, mahakama ilizingatia mambo kadhaa ikiwemo uzito wa kosa lenyewe pamoja na ukweli kwamba Malema ni mkosaji wa mara ya kwanza asiye na rekodi nyingine ya makosa ya jinai.

Alisisitiza kuwa adhabu iliyotolewa inapaswa kuendana na kosa pamoja na mhusika, huku pia ikizingatia maslahi ya jamii na kuonyesha kiwango cha huruma kulingana na mazingira ya tukio husika.
Aidha, Olivier alipinga vikali hoja ya utetezi iliyodai kuwa kufyatuliwa kwa risasi hiyo kulikuwa ni sehemu ya sherehe, akieleza kuwa madai hayo hayana msingi. Alibainisha kuwa Malema alifahamu wazi kuwa kitendo hicho kilikuwa kinyume cha sheria.

Kwa mujibu wa mahakama, tukio hilo lilipangwa mapema kabla ya maadhimisho ya sherehe ya siku ya kuzaliwa ya chama cha EFF, na halikuwa tukio la ghafla au lililotokana na hasira.
“Halikuwa tukio la msukumo wa ghafla. Halikuwa la hasira. Lilikuwa sehemu ya ratiba ya shughuli za jioni hiyo. Tukio la aina hiyo linahitaji mipango makini kuhusu namna, muda na mahali pa kutumia silaha hiyo,” alisema Olivier.

Aliongeza kuwa uamuzi wa kutumia silaha hiyo ulifanywa kwa makusudi na kwa idhini ya mshtakiwa pamoja na uongozi wake, huku akifahamu kuwa hatua hiyo ingeweza kusababisha madhara kwa watu au mali.
Chanzo . eNCA
 

Attachments

  • 0001229861_resized_juliusmalema1251120241022.jpeg
    0001229861_resized_juliusmalema1251120241022.jpeg
    73.9 KB · Views: 49
Alifanya kosa kufyatua marisasi na SMG yake hadharani bila maandalizi maalumu lakini miaka mitano mingi sana, labda angenyang'anywa tu haki ya kutumia bunduki miaka mitano, kifungo cha miezi sita na faini.
 
Umeona kosa alilolifanya?
Malema ana mihemko sana unajua kelele zake zikafika hadi white House ya Trump so hapo lazima watawala wakutafutie justification ya kukufunga. Huyu jamaa ndio ali advocate wazungu wauawe "shoot the boer" as if hawana haki ya kuishi Afrika kusini.

Imagine Trump au Biden akiwa kwenye mkutano wa siasa aseme "shoot the niggas" na kwamba wafuasi wake wawauwe watu weusi marekani!! Niambie hali ingekuaje dunia nzima? Si angeambiwa ajiuzulu na angefunguliwa kesi ya mauaji ya halaiki!!!

Malema kafanya mistakes nyingi sana ikabidi tu wamtafutie kesi yoyote ambayo ina ushahidi clear na ikamfunga kweli. Ni sawa na hili joto la chadema alafu lissu abebe AK47 kuhamasisha mauaji ya wana CCM hivi unadhani haitokua fursa kwa CCM kumfunga kiukweli ukweli?
 
Malema ana mihemko sana unajua kelele zake zikafika hadi white House ya Trump so hapo lazima watawala wakutafutie justification ya kukufunga. Huyu jamaa ndio ali advocate wazungu wauawe "shoot the boer" as if hawana haki ya kuishi Afrika kusini.

Imagine Trump au Biden akiwa kwenye mkutano wa siasa aseme "shoot the niggas" na kwamba wafuasi wake wawauwe watu weusi marekani!! Niambie hali ingekuaje dunia nzima? Si angeambiwa ajiuzulu na angefunguliwa kesi ya mauaji ya halaiki!!!

Malema kafanya mistakes nyingi sana ikabidi tu wamtafutie kesi yoyote ambayo ina ushahidi clear na ikamfunga kweli. Ni sawa na hili joto la chadema alafu lissu abebe AK47 kuhamasisha mauaji ya wana CCM hivi unadhani haitokua fursa kwa CCM kumfunga kiukweli ukweli?
Shoot/Kill the Boer ni wimbo wa zamani wa ANC wakati wa mapambano dhidi ya apartheid hata kabla Malema hajazaliwa, Malema alikuwa anaurudia tu kuimba kwenye hadhara muda mrefu baada ya ANC kuachana nao. Kesi ya huo wimbo ilifunguliwa hadi mahakamani ukapigwa marufuku lakini baadaye watu wakakata rufaa ukafunguliwa kwa uamuzi kwamba ni sehemu ya freedom of speech.
 
Shoot/Kill the Boer ni wimbo wa zamani wa ANC wakati wa mapambano dhidi ya apartheid, Malema alikuwa anaurudia tu kuimba kwenye hadhara muda mrefu baada ya ANC kuachana nao.
Unajua freedom of speech ni pana sana mfano mtu anaweza tukana dini yako mfano Mtume au Yesu ila hauwezi mfunga sababu ni free speech!! Ila unaweza mfunga kwa kufanya mkutano bila kibali au trespassing kwenye makazi yako!!

Kwahiyo kama Malema alijfiichia kwenye kivuli cha free speech kuhamasisha kuua wazungu basi nao wameheshimu freedom of speech ila wamepinga kutumia AK 47 tena publicly na akiwa hana kibali hicho!!

Ukijificha kwenye kijisheria basi na wao wanajifichia kwenye kijisheria cha matumizi ya silaha na utadakwa tu.
 
Back
Top Bottom