Pre GE2025 Julius Mtatiro jiandae kutenguliwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Nafasi yake nimeshaichukua tayari, asuburie tu utenguzi
 
Ohooooooo!!!!
 
Kwa maoni yako ya kutaka Wakili Nkuba akubali kushindwa kwenye uchahuzi wa Rais wa Tanganyika Lawa Society(TLS) ulifiofikia tamati siku ya jana, jiandae kutenguliwa nafasi yako wakati wowote kuanzia sasa...
Labda hakutumwa.....ila kama ametumwa na kuropoka vile ataliwa tuuu....achunge ulimi wake........njaa mvaya sanaa Nawanda sasa anajuta utakuta anaswalii sasa......madaraka pesa bure rahaaa buana asikwambie mtuuu
 
Nchi hii ni ya kidemokrasia. Kila mtu ana haki ya kutoa maoni. Kuwa kiongozi wa serikali siyo kwamba umefungwa kamba kufikiri na kutoa maoni. Kama ni hivyo SITAKI kuwa kiongozi wa kuteuliwa. Kama pesa mtaani sasa kuna pesa nyingi tu. Pambana.
 
ukisikia Uchawi ndio huu
 
ACT itampokea
 
Upo sahihi
 
Anaacha ofisi yake kuna mambo mengi ya kufanya kwenye Wilaya yake anaenda kuangaika na akina Mwabukusi ambao kutwa wanamtukana Raisi majukwaani anajielewa kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…