Pre GE2025 Julius Mtatiro jiandae kutenguliwa

Pre GE2025 Julius Mtatiro jiandae kutenguliwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Anaacha ofisi yake kuna mambo mengi ya kufanya kwenye Wilaya yake anaenda kuangaika na akina Mwabukusi ambao kutwa wanamtukana Raisi majukwaani anajielewa kweli.
Alienda kupiga kura kama wakili.
 
Anaacha ofisi yake kuna mambo mengi ya kufanya kwenye Wilaya yake anaenda kuangaika na akina Mwabukusi ambao kutwa wanamtukana Raisi majukwaani anajielewa kweli.
Hahaa nimekua mgeni kidogo natamani kujua matusi ambayo huyu Mwabukusi amemtukana Mheshimiwa Mama Rais wa Jamhuri y Muungano. Ni hofu yangu kubwa juu ya weledi, uchapakazi na uadilifu pamoja na utii wa vyombo vya usalma vya nchi hii hasa Jeshi la polisi na Mahakama kwa Mheshimiwa Rais. Haiwezekani mtu kama Mwabukusi ambaye ni msomi wa sheria, anayeijua vyema katiba ya nchi na vile inalinda haki na utu wa binadamu hasa mtanzania anashinda kutwa nzima akimtukana Rais lakini bado yupo uraiani anatembea, Mbaya zaidi ni kwamba amechaguliw tena kuongoza chama cha wanasheria Tanganyika ambacho kina wajibu wa kuisaidia Mahakama kutafsiri sheria.
Vyombo hivi natilia mashaka uadilifu wake kiasi kwamba watu wa kawaida ambao hata sheria zinazowahusu wao binasfi hawazijui lakini wana uwezo wa kutambua matusi ni yapi na kukosolewa ni kupi hata waweze kutafsiri huko vijiweni kwamba Rais ametukanwa wao wamekaa ofisini tu. Cha ajabu ni kijana aliyechoma picha inayoitwa ya Rais kuhukumiwa instatntly!!
Natamani sana wadau watoneshe matusi ambayo huyu Bwana Kajunjumele amemtukana Rais hata Mtatiro apoteze muda nae kumde-campaign
 
Kwa maoni yako ya kutaka Wakili Nkuba akubali kushindwa kwenye uchahuzi wa Rais wa Tanganyika Law Society (TLS) ulifiofikia tamati siku ya jana, jiandae kutenguliwa nafasi yako wakati wowote kuanzia sasa.

Madaraka ya kuhudumu at the pleasure of someone else, yanakupa kila kitu isipokuwa uhuru wa maoni.

Subiri mkeka ujao au hata kabla ya hapo.

Pia soma: Julius Mtatiro: Nikiwa kama kampeni Meneja wa Wakili Nkuba nimemshauri asiende Mahakamani. Uchaguzi ulikuwa wa wazi na kidemokrasia!
💯
Ulimi uliponza kichwa...
 
Lissu alipokuwa rais wa TLS,TLS haikuitwa Chadema B.
Lakini sasa Mwabukusi alivyokuwa rais unataka kusema TLS ni Chama cha wanaharakati wa siasa .
 
Imeandikwa "mtu hataishi kwa mkate tu bali kwa kila neno litokalo kinywani kwa Bwana"
Pia imeandikwa "Heri kufa ukiwa umesimama kuliko kuishi ukiwa umepiga magoti"
Mtatiro daima ishi kwa hayo maneno hapo juu kwani kweli itakuweka huru DAIMA.
 
Kwa maoni yako ya kutaka Wakili Nkuba akubali kushindwa kwenye uchahuzi wa Rais wa Tanganyika Law Society (TLS) ulifiofikia tamati siku ya jana, jiandae kutenguliwa nafasi yako wakati wowote kuanzia sasa.

Madaraka ya kuhudumu at the pleasure of someone else, yanakupa kila kitu isipokuwa uhuru wa maoni.

Subiri mkeka ujao au hata kabla ya hapo.

Pia soma: Julius Mtatiro: Nikiwa kama kampeni Meneja wa Wakili Nkuba nimemshauri asiende Mahakamani. Uchaguzi ulikuwa wa wazi na kidemokrasia!
Tulipofika Wakili msomi anaogopa maisha mpaka anakuwa chawa wa watawala
 
Back
Top Bottom