RUSTEM PASHA
JF-Expert Member
- Jan 26, 2016
- 4,707
- 11,365
Alienda kupiga kura kama wakili.Anaacha ofisi yake kuna mambo mengi ya kufanya kwenye Wilaya yake anaenda kuangaika na akina Mwabukusi ambao kutwa wanamtukana Raisi majukwaani anajielewa kweli.
Hahaa nimekua mgeni kidogo natamani kujua matusi ambayo huyu Mwabukusi amemtukana Mheshimiwa Mama Rais wa Jamhuri y Muungano. Ni hofu yangu kubwa juu ya weledi, uchapakazi na uadilifu pamoja na utii wa vyombo vya usalma vya nchi hii hasa Jeshi la polisi na Mahakama kwa Mheshimiwa Rais. Haiwezekani mtu kama Mwabukusi ambaye ni msomi wa sheria, anayeijua vyema katiba ya nchi na vile inalinda haki na utu wa binadamu hasa mtanzania anashinda kutwa nzima akimtukana Rais lakini bado yupo uraiani anatembea, Mbaya zaidi ni kwamba amechaguliw tena kuongoza chama cha wanasheria Tanganyika ambacho kina wajibu wa kuisaidia Mahakama kutafsiri sheria.Anaacha ofisi yake kuna mambo mengi ya kufanya kwenye Wilaya yake anaenda kuangaika na akina Mwabukusi ambao kutwa wanamtukana Raisi majukwaani anajielewa kweli.
💯Kwa maoni yako ya kutaka Wakili Nkuba akubali kushindwa kwenye uchahuzi wa Rais wa Tanganyika Law Society (TLS) ulifiofikia tamati siku ya jana, jiandae kutenguliwa nafasi yako wakati wowote kuanzia sasa.
Madaraka ya kuhudumu at the pleasure of someone else, yanakupa kila kitu isipokuwa uhuru wa maoni.
Subiri mkeka ujao au hata kabla ya hapo.
Pia soma: Julius Mtatiro: Nikiwa kama kampeni Meneja wa Wakili Nkuba nimemshauri asiende Mahakamani. Uchaguzi ulikuwa wa wazi na kidemokrasia!
Tulipofika Wakili msomi anaogopa maisha mpaka anakuwa chawa wa watawalaKwa maoni yako ya kutaka Wakili Nkuba akubali kushindwa kwenye uchahuzi wa Rais wa Tanganyika Law Society (TLS) ulifiofikia tamati siku ya jana, jiandae kutenguliwa nafasi yako wakati wowote kuanzia sasa.
Madaraka ya kuhudumu at the pleasure of someone else, yanakupa kila kitu isipokuwa uhuru wa maoni.
Subiri mkeka ujao au hata kabla ya hapo.
Pia soma: Julius Mtatiro: Nikiwa kama kampeni Meneja wa Wakili Nkuba nimemshauri asiende Mahakamani. Uchaguzi ulikuwa wa wazi na kidemokrasia!