Julius Mtatiro: Nikiwa kama kampeni Meneja wa Wakili Nkuba nimemshauri asiende Mahakamani. Uchaguzi ulikuwa wa wazi na kidemokrasia!

Moja ya lalamiko la SWITII ni kwamba watu walikuwa na matokeo kabla ya kamati kutangaza ,kama akipeleka mahakamani it means on the spot atashindwa kasababu mtatiro na yeye alikuwa wa kwanza kumtangaza SWITII ameshinda.
Kwani watu wanashindwa kubashiri mshindi kabla ya matokeo kutangazwa? Mbona Nkuba anaongea kama siyo Mwanasheria au ukiwa mwanasheria utakiwi kufanya linganisho la sheria na mambo ya kila siku kwenye maisha ya kawaida?
 
Kwani watu wanashindwa kubashiri mshindi kabla ya matokeo kutangazwa? Mbona Nkuba anaongea kama siyo Mwanasheria au ukiwa mwanasheria utakiwi kufanya linganisho la sheria na mambo ya kila siku kwenye maisha ya kawaida?

Mbinu za kuiba kura imeshindikana kwahiyo amepagawa....Yaani mtu unapigwa gepu la kura zaidi ya 400 yaani 25% gap bado unasema ameibiwa ,wakrudia anaweza akashusha kura chini ya 200.
 
Yaani ni sawa na kutembea uchi, Wananchi wanaamini wanasheria ndio kimbilio lao, Sasa kutokuamini kwa Ntuba ni UDHAIFU'kwa wanasheria!
 
Wangetaka Mwabukusi asishinde ilikuwa ni rahisi sana. Ilikuwa ni serikali na katibu wa CCM kumu-endorse basi kazi ingekuwa imeisha
 
Kama ulimshauri na bado akaku ignore nakuja hadharani kusema anaenda mahalamani. Na wewe mshauri badala ya kukaa kimya nawe ukaja hadharani kusema ulimshauri asije na akaja, basi naamini ilikuwa sahihi kabisa kushindwa uchaguzi maana wote wawili hamkuwa na busara!
 

Ahsante Learned lawyer kwa kulinda taaluma. Sababu za Adv Nkuba hazina mashiko mbele ya sheria
Hakika umemdhauri bila mihemko wala uchawa wa aina yoyote ile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…