Kwani watu wanashindwa kubashiri mshindi kabla ya matokeo kutangazwa? Mbona Nkuba anaongea kama siyo Mwanasheria au ukiwa mwanasheria utakiwi kufanya linganisho la sheria na mambo ya kila siku kwenye maisha ya kawaida?Moja ya lalamiko la SWITII ni kwamba watu walikuwa na matokeo kabla ya kamati kutangaza ,kama akipeleka mahakamani it means on the spot atashindwa kasababu mtatiro na yeye alikuwa wa kwanza kumtangaza SWITII ameshinda.