PreGE2025 Julius Mwita: Hakuna aliye nyuma ya G55, haya ni mawazo yetu!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Cute Wife

Platinum Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
3,054
Reaction score
8,449
Wakuu,
CCM B mfitufanye wajinga bana, mnakataa wenyewe makubaliano yenu utafikiri sio nyinyi mlioshiriki kuyaweka halafu mnasema hakuna aliye nyuma yenu, na hao wauza majimbo pembeni hapo? :BearLaugh: :BearLaugh:

=====

1744127279510.png

"G55 ni kundi la wagombea ubunge wa mwaka 2020 na watia nia wa mwaka 2025 kwasababu tuna program za chama na moja wapo ilikuwa ni ya watia nia na kumbuka kuwa kwenye hotuba ya Katibu mkuu wa Chama Mnyika Januari 21, 2023 Mwanza alialika watu watie nia ya kuwania ubunge 2025 kwahiyo ndiyo hawa watu wote hawa.

G55 ni matokeo ya G55 ya mwaka 1993 ambayo lilikuwa ni kundi la wabunge ndani ya CCM waliokuwa wanapinga mfumo wa serikali mbili, wakawa wanataka serikali tatu. Sisi tumetohoa tu na tupo zaidi ya 200 kwa muito ambao ulifanywa na Katibu Mkuu na hakuna mtu ambaye yupo nyuma ya G55.

G55 imezaliwa baada ya kuwa kimeitishwa kikao cha watia nia Makao Makuu ya chama Aprili 03, kikao kilipoitishwa kwamba tunakwenda kwenye kujadili kuhusu No Reforms, No election na No Reforms ni fine kwamba tunataka mabadiliko na maboresho ya mifumo ya kiuchaguzi, lakini No election this is Impossible - Wakaunda hilo kundi wakawa wanatengeneza mawazo mbadala ambayo tayari tumeyawasilisha kwa Katibu Mkuu kwa maandishi na tuna hoja tisa ambazo tunashauri, kwanini tunashauri na athari sita kwa Chama kutoshiriki uchaguzi.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Mtu anaposema kuna mtu nyuma ya G55 hivi kweli watu zaidi ya 200 hawana mawazo ya kufikiri mpaka kuwe na mtu anafikiri kwaniaba yao?hii si sawa, yaani Mimi, John Mrema na wengineo hawawezi kufikiri kila mmoja kwaniaba yake? Kwamba kuna mtu anatufikiria!?

Wazo limekuja baada ya kikao kuitwa, tukaamua tunaofikiri pamoja tukae tupange hoja, wakati huo kuna mtu anataka kuonekana mwema akascreenshot meseji kwenye WhatsApp, jamani eenh kuna watu hivi na hivi na hapo ndiyo tukaanza kuwa branded kwamba hawa ni waasi, hivi kweli kuwa na mawazo mbadala ni uasi?"- Julius Mwita
 
Hao wachumia tumbo hivi wanafikiri CCM inaweza kuwaachia majimbo? basi hata sawa na idadi yao (55)!, wanachekesha.
 
Mvurugano huu sasa mnaanza kugombea fito sasa naanza kuilewa ile picha ya kibonzo cha Masudi Kipanya huu mchezo sio kabisa
 
Mtasema yote, mtanena kwa lugha za mataifa, mtaandika kila herufi, lakini ukweli ni kwamba No Reforms, No Election imewashika pabaya kwa jinsi wananchi wanavyoipokea.
Chadema ya sasa ni NCCR - MAGEUZI iliyobadilisha jina. Mambo ni vururuvururu
 
Wakuu,
CCM B mfitufanye wajinga bana, mnakataa wenyewe makubaliano yenu utafikiri sio nyinyi mlioshiriki kuyaweka halafu mnasema hakuna aliye nyuma yenu, na hao wauza majimbo pembeni hapo? :BearLaugh: :BearLaugh:

=====

"G55 ni kundi la wagombea ubunge wa mwaka 2020 na watia nia wa mwaka 2025 kwasababu tuna program za chama na moja wapo ilikuwa ni ya watia nia na kumbuka kuwa kwenye hotuba ya Katibu mkuu wa Chama Mnyika Januari 21, 2023 Mwanza alialika watu watie nia ya kuwania ubunge 2025 kwahiyo ndiyo hawa watu wote hawa.

G55 ni matokeo ya G55 ya mwaka 1993 ambayo lilikuwa ni kundi la wabunge ndani ya CCM waliokuwa wanapinga mfumo wa serikali mbili, wakawa wanataka serikali tatu. Sisi tumetohoa tu na tupo zaidi ya 200 kwa muito ambao ulifanywa na Katibu Mkuu na hakuna mtu ambaye yupo nyuma ya G55.

G55 imezaliwa baada ya kuwa kimeitishwa kikao cha watia nia Makao Makuu ya chama Aprili 03, kikao kilipoitishwa kwamba tunakwenda kwenye kujadili kuhusu No Reforms, No election na No Reforms ni fine kwamba tunataka mabadiliko na maboresho ya mifumo ya kiuchaguzi, lakini No election this is Impossible - Wakaunda hilo kundi wakawa wanatengeneza mawazo mbadala ambayo tayari tumeyawasilisha kwa Katibu Mkuu kwa maandishi na tuna hoja tisa ambazo tunashauri, kwanini tunashauri na athari sita kwa Chama kutoshiriki uchaguzi.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Mtu anaposema kuna mtu nyuma ya G55 hivi kweli watu zaidi ya 200 hawana mawazo ya kufikiri mpaka kuwe na mtu anafikiri kwaniaba yao?hii si sawa, yaani Mimi, John Mrema na wengineo hawawezi kufikiri kila mmoja kwaniaba yake? Kwamba kuna mtu anatufikiria!?

Wazo limekuja baada ya kikao kuitwa, tukaamua tunaofikiri pamoja tukae tupange hoja, wakati huo kuna mtu anataka kuonekana mwema akascreenshot meseji kwenye WhatsApp, jamani eenh kuna watu hivi na hivi na hapo ndiyo tukaanza kuwa branded kwamba hawa ni waasi, hivi kweli kuwa na mawazo mbadala ni uasi?"- Julius Mwita
mimi natoa jina lililonyooka ita mpox55 hamta ulizwa wala kudaiwa na yeyote,ila kwa sharti la kukubali kama nyie ni wasaliti na mfadhili ni jirani hasimu chini,ya mbuyu uliong'ooka kwa kuchezeshwa ngoma ya mpwetempwite na mbarikiwa mw.kiti mupya mwenye mitazamo mipya.
 
Chadema asilia wanataka mbao zao.
Mbowe alikijenga chama kwa hali na mali....Leo hii wakuja wanataka kujifqnyia tu mambo yao. hatukubali.
 
Mtasema yote, mtanena kwa lugha za mataifa, mtaandika kila herufi, lakini ukweli ni kwamba No Reforms, No Election imewashika pabaya kwa jinsi wananchi wanavyoipokea.
Watu wenye akili kama mimi huwa tunasherehekea matokeo (results) ya tulichofanya na sio maandalizi ya tunachotaka kufanya! Sijui umeelewa!?
 
Mwenye akili kama huyu!!??
Watu wenye akili kama mimi huwa tunasherehekea matokeo (results) ya tulichofanya na sio maandalizi ya tunachotaka kufanya! Sijui umeelewa!?
 
Attachments

  • 6021175-479b15392d489294edae554034bf610.mp4
    579.6 KB
Back
Top Bottom