Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Anaongelea tume za nyakati mbili tofauti?Akizungumza kupitia Clouds FM, Julius Mwita aliyekuwa Katibu wa Sekretarieti ya CHADEMA amesema
"Kwenye tume ya uchaguzi mbaya kabisa mwaka 2000, CHADEMA ilipata viti Vinne vya ubunge na majimbo na madiwani 42. Mwaka 2005 tume ilikuwa ya hovyo sana CHADEMA ilipata majimbo matano na madiwani 72. Mwaka 2010 CHADEMA ilipata majimbo 24.
"Na mwaka 2010, Mwenyekiti wetu wa sasa, Tundu Lissu alishinda kwa mara ya kwanza ubunge wa Singida Mashariki ndani ya mfumo huo huo mbaya kabisa, Mwenyekiti wetu akiwa Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki anakwenda kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa chini ya TAMISEMI anashinda vijiji 49 kati ya Vijiji 50 vya Jimbo lake, tume hii mbaya!!"
Ndio hii hii tume ilimpatia ubunge mara mbili yule chizi wa machame anaeishi Arusha🙆♂️🙆♂️🙆♂️Akizungumza kupitia Clouds FM, Julius Mwita aliyekuwa Katibu wa Sekretarieti ya CHADEMA amesema
"Kwenye tume ya uchaguzi mbaya kabisa mwaka 2000, CHADEMA ilipata viti Vinne vya ubunge na majimbo na madiwani 42. Mwaka 2005 tume ilikuwa ya hovyo sana CHADEMA ilipata majimbo matano na madiwani 72. Mwaka 2010 CHADEMA ilipata majimbo 24.
"Na mwaka 2010, Mwenyekiti wetu wa sasa, Tundu Lissu alishinda kwa mara ya kwanza ubunge wa Singida Mashariki ndani ya mfumo huo huo mbaya kabisa, Mwenyekiti wetu akiwa Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki anakwenda kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa chini ya TAMISEMI anashinda vijiji 49 kati ya Vijiji 50 vya Jimbo lake, tume hii mbaya!!"
ndio hapo sasaWalitangazwa kwa mbide. Halafu kwanini anatumia mfano wa 2010? Kwanini anakwela 2020 na 2024?
Kulamba asali ni kubaya sanaAkizungumza kupitia Clouds FM, Julius Mwita aliyekuwa Katibu wa Sekretarieti ya CHADEMA amesema
"Kwenye tume ya uchaguzi mbaya kabisa mwaka 2000, CHADEMA ilipata viti Vinne vya ubunge na majimbo na madiwani 42. Mwaka 2005 tume ilikuwa ya hovyo sana CHADEMA ilipata majimbo matano na madiwani 72. Mwaka 2010 CHADEMA ilipata majimbo 24.
"Na mwaka 2010, Mwenyekiti wetu wa sasa, Tundu Lissu alishinda kwa mara ya kwanza ubunge wa Singida Mashariki ndani ya mfumo huo huo mbaya kabisa, Mwenyekiti wetu akiwa Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki anakwenda kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa chini ya TAMISEMI anashinda vijiji 49 kati ya Vijiji 50 vya Jimbo lake, tume hii mbaya!!"
kumbe tume hupatia wat ubunge!Ndio hii hii tume ilimpatia ubunge mara mbili yule chizi wa machame anaeishi Arusha🙆♂️🙆♂️🙆♂️
Baada ya hapo ikawaje, atupe mwendelezo wake basi! 😄Mwaka 2010 CHADEMA ilipata majimbo 24.
Tofauti na hilo anataka kila baada ya miaka 5 ya uchaguzi Chadema iwe inapata wabunge 4, 7, 2 ,1, 0 ilimradi tu wanashiriki uchaguzi? Huyu Mwita vp, Mwita wa wapi huyu? Kwanini hawakumktalilia Mwenyekiti Mbowe na ajenda yake ya No reforms No Elections! au hakuwajui maana ya No reforms, wakajikuta wanaipitisha kwa mbwembwe sasa kaja anaejua maana ya No reforms wamechanganyikiwa?Anaongelea tume za nyakati mbili tofauti?
Hoja mufilisi kabisa anasema eti wakashiriki uchaguzi atakaeiba uchaguzi nao watamuiba ndio kauli mbiu yao G55? Wanataka watu wakafe tena? Hata ikitokea mmeachiwa majimbo 20 ku justify ushindi wao chama kitanufaika na nini? Hao 20 watasaidia nini lamaana ? Kwanini hatuweki nguvu kuishauri serikali ikubali vipengele vitakavyoleta tume huru kweli ? Kuondoa mzizi wa fitina kwakua siaiemu inajinasibu kukubalika hivyo tunaamini watashinda kwa merits tunapatwa mashaka chama kinachokubalika kuogopa tume huru kuna nini kinaogopwa? Wape watu tume huru wanayotaka nenda kashinde uchaguzi utakua umewakosesha hoja utatawala utakavyo sasa hutaki tume huru unaweka tume huru jina unataka kuteua wanaosimamia uchaguzi halafu tuanimba amani amani amani this is not fair tutawalaumu bure CDM lakini serikali ya sisiemu wako katika position nzuri kuondoa hii lawama kukataa kwao kunaleta mashaka kama hayo mashaka wenye akili timamu hawayaoni basi kuna tatizo sehemu mana sisiemu inajinasibu kua na database ya wanachama zaidi ya 20m sasa wanaogopa nini?🤣🤣🤣Uhakika ni kua wkaijichanganya tu kinawakuta cha FAM asubuhi tu hawataamini kua hawana watu wakutosha kwenye kura sasa tuamue kama tumechagua ulaghai basi tusitumie ghafama za kampeni nauchaguzi kufanyiana kiini macho kwenda kupelekea kugharimu maisha ya watanzania wenzetu haipaswi mtu hata mmoja afe kisa uchaguzi au aumizwe kwanini twende huko namatokeo watu wa akuna nayo?Akizungumza kupitia Clouds FM, Julius Mwita aliyekuwa Katibu wa Sekretarieti ya CHADEMA amesema
"Kwenye tume ya uchaguzi mbaya kabisa mwaka 2000, CHADEMA ilipata viti Vinne vya ubunge na majimbo na madiwani 42. Mwaka 2005 tume ilikuwa ya hovyo sana CHADEMA ilipata majimbo matano na madiwani 72. Mwaka 2010 CHADEMA ilipata majimbo 24.
"Na mwaka 2010, Mwenyekiti wetu wa sasa, Tundu Lissu alishinda kwa mara ya kwanza ubunge wa Singida Mashariki ndani ya mfumo huo huo mbaya kabisa, Mwenyekiti wetu akiwa Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki anakwenda kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa chini ya TAMISEMI anashinda vijiji 49 kati ya Vijiji 50 vya Jimbo lake, tume hii mbaya!!"
USITISHE WATU, JIBU ANACHOKIULIZA! HIYO TUME NA SHERIA HZ ZILIKUWA ZMETOKA MAREKANI?Kukaa kimya wakati fulani naambiwa ni busara/hekima. Huyu kwa vyovyote vile ningemjibu lazima ingeleta makwazo kwenu. Sina jibu kwa sababu hiyo tu. Lakini namshauri kwamba uvumilivu unakikomo. Itafika mahali tutampandilia juu kwa juu.