PreGE2025 Julius Mwita: Tume hii 'mbaya' ilimpa ushindi Lissu ubunge 2010

PreGE2025 Julius Mwita: Tume hii 'mbaya' ilimpa ushindi Lissu ubunge 2010

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Ndio hii hii tume ilimpatia ubunge mara mbili yule chizi wa machame anaeishi Arusha🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️
Ni kweli, ila ni baada ya wananchi kuumizwa na kuachwa na vilema vya maisha. Kwa sasa tumesema enough is enough.
 
Mwita ni mshenzi hajui hata anachozungumza.

Mwaka 2010 ilibidi watu watishie kuharibu ofisi za Serikali ndo Lissu alitangazwa kuwa mbunge.

alAliyekuwa kaimu RPC wa Singida Wankyo Nyegesa alimwambia Msimamizi usipomtangaza Lissu nitaondoa Askari Wananchi wadeal na wewe ndo Lissu alitangazwa kuwa mbunge.
Lissu alitangazwa baada ya vitisho siyo?
 
Huyu mpuuzi hajui kama tunataka ziwepo standards badala ya utashi. Hajasema kuhusu 2020 wala 2024. Hiyo 2010 yenyewe hajasema nguvu iliyotumika. Kwa nini iwe mpaka nguvu kubwa itumike? CCM wao wanatumia nguvu?
 
Uanzishwe utaratibu wa kupima ulevi kabla ya kufanya interview!


Mwita ameelewa 😎
 
Huyo mlevi anaongea ujinga tupu, rejea tunayofanya sasa ni chaguzi za 2019, 2020 na 2024 ina maana ameshasau mara hii, kumbe ndiyo maana K Vant inaitwa kifutio inafuta kumbukumbu kabisa.
 
Ina maana huyu kima haoni kama tume haipo sawa?...
Aisee......Rushwa ni mbaya sana..mtu anajitoa ufahamu kutetea upumbavu....
R.I.P JPM...ndio maana uliwatoa mbio hawa malofa..hakika ni watu washenzi sana..


Huyu Mwita, rushwa imemwondolea kabisa hata akili ndogo aliyokuwa nayo.
 
Akizungumza kupitia Clouds FM, Julius Mwita aliyekuwa Katibu wa Sekretarieti ya CHADEMA amesema

"Kwenye tume ya uchaguzi mbaya kabisa mwaka 2000, CHADEMA ilipata viti Vinne vya ubunge na majimbo na madiwani 42. Mwaka 2005 tume ilikuwa ya hovyo sana CHADEMA ilipata majimbo matano na madiwani 72. Mwaka 2010 CHADEMA ilipata majimbo 24.

"Na mwaka 2010, Mwenyekiti wetu wa sasa, Tundu Lissu alishinda kwa mara ya kwanza ubunge wa Singida Mashariki ndani ya mfumo huo huo mbaya kabisa, Mwenyekiti wetu akiwa Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki anakwenda kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa chini ya TAMISEMI anashinda vijiji 49 kati ya Vijiji 50 vya Jimbo lake, tume hii mbaya!!"

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Kwani tume hiyo mbaya ilifanya nini 2019, 2020 na 2024. Watu wengine no miqundu sana. Yani mtu ni mwanasiasa halafu hajui hata kama zama zimebadilika.
 
Chadema inabidi ifumuliwe haswaaa na waingie great thinker sanaaa,bado najiuliza huyu alipenyaje mpaka kua katibu wa secretariat!!
Ama uchawa,Mbowe tunamuheshimu sana lakini alijenga usulutani mno ndani ya CDM kiasi sasa kaondoka wanaibuka mazuzu ambao wanatuacha mdomo wazi kabisa.diiiiiiiiii
 
Watu k
Akizungumza kupitia Clouds FM, Julius Mwita aliyekuwa Katibu wa Sekretarieti ya CHADEMA amesema

"Kwenye tume ya uchaguzi mbaya kabisa mwaka 2000, CHADEMA ilipata viti Vinne vya ubunge na majimbo na madiwani 42. Mwaka 2005 tume ilikuwa ya hovyo sana CHADEMA ilipata majimbo matano na madiwani 72. Mwaka 2010 CHADEMA ilipata majimbo 24.

"Na mwaka 2010, Mwenyekiti wetu wa sasa, Tundu Lissu alishinda kwa mara ya kwanza ubunge wa Singida Mashariki ndani ya mfumo huo huo mbaya kabisa, Mwenyekiti wetu akiwa Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki anakwenda kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa chini ya TAMISEMI anashinda vijiji 49 kati ya Vijiji 50 vya Jimbo lake, tume hii mbaya!!"

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Watu kama mwita inakuwaje wanapenya mpaka kufika ngazi za juu za chama ilihali uwezo wao ni mdogo sana?? Vyama vya upinzani vijitathimi sana.
Inshort Chadema wanachopigania ni kuwe na tume huru ya uchaguzi wananchi wachague kiongozi bila kuingiliwa na mamlaka. Ushindi wa kutegemea Rais kaamukaje ndio mshinde huo sio uchaguzi.
 
Wakoloni wangekaza kidogo tu hadi Sasa tungekuwa waingereza basi TU waliamua kulegeza😥
 
Back
Top Bottom