Ni kweli, ila ni baada ya wananchi kuumizwa na kuachwa na vilema vya maisha. Kwa sasa tumesema enough is enough.Ndio hii hii tume ilimpatia ubunge mara mbili yule chizi wa machame anaeishi Arusha๐โโ๏ธ๐โโ๏ธ๐โโ๏ธ
Lissu alitangazwa baada ya vitisho siyo?Mwita ni mshenzi hajui hata anachozungumza.
Mwaka 2010 ilibidi watu watishie kuharibu ofisi za Serikali ndo Lissu alitangazwa kuwa mbunge.
alAliyekuwa kaimu RPC wa Singida Wankyo Nyegesa alimwambia Msimamizi usipomtangaza Lissu nitaondoa Askari Wananchi wadeal na wewe ndo Lissu alitangazwa kuwa mbunge.
Ina maana huyu kima haoni kama tume haipo sawa?...
Aisee......Rushwa ni mbaya sana..mtu anajitoa ufahamu kutetea upumbavu....
R.I.P JPM...ndio maana uliwatoa mbio hawa malofa..hakika ni watu washenzi sana..
Kwani tume hiyo mbaya ilifanya nini 2019, 2020 na 2024. Watu wengine no miqundu sana. Yani mtu ni mwanasiasa halafu hajui hata kama zama zimebadilika.Akizungumza kupitia Clouds FM, Julius Mwita aliyekuwa Katibu wa Sekretarieti ya CHADEMA amesema
"Kwenye tume ya uchaguzi mbaya kabisa mwaka 2000, CHADEMA ilipata viti Vinne vya ubunge na majimbo na madiwani 42. Mwaka 2005 tume ilikuwa ya hovyo sana CHADEMA ilipata majimbo matano na madiwani 72. Mwaka 2010 CHADEMA ilipata majimbo 24.
"Na mwaka 2010, Mwenyekiti wetu wa sasa, Tundu Lissu alishinda kwa mara ya kwanza ubunge wa Singida Mashariki ndani ya mfumo huo huo mbaya kabisa, Mwenyekiti wetu akiwa Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki anakwenda kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa chini ya TAMISEMI anashinda vijiji 49 kati ya Vijiji 50 vya Jimbo lake, tume hii mbaya!!"
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Hata hivyo kipindi kile watu walikua wanalinda kula. Mguu kwa mguu. Au yeye anajua walitangaza kwa kupenda? Alafu anajiita mwita kabisa?.Anaongelea tume za nyakati mbili tofauti?
Watu kama mwita inakuwaje wanapenya mpaka kufika ngazi za juu za chama ilihali uwezo wao ni mdogo sana?? Vyama vya upinzani vijitathimi sana.Akizungumza kupitia Clouds FM, Julius Mwita aliyekuwa Katibu wa Sekretarieti ya CHADEMA amesema
"Kwenye tume ya uchaguzi mbaya kabisa mwaka 2000, CHADEMA ilipata viti Vinne vya ubunge na majimbo na madiwani 42. Mwaka 2005 tume ilikuwa ya hovyo sana CHADEMA ilipata majimbo matano na madiwani 72. Mwaka 2010 CHADEMA ilipata majimbo 24.
"Na mwaka 2010, Mwenyekiti wetu wa sasa, Tundu Lissu alishinda kwa mara ya kwanza ubunge wa Singida Mashariki ndani ya mfumo huo huo mbaya kabisa, Mwenyekiti wetu akiwa Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki anakwenda kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa chini ya TAMISEMI anashinda vijiji 49 kati ya Vijiji 50 vya Jimbo lake, tume hii mbaya!!"
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Kwani hujui. Record zote zipo. Uliza kilichotokea kila jimbo, kwa wapinzani wote, walitangazwa kwa nguvu ya umma, vurugu hata mabomu.Lissu alitangazwa baada ya vitisho siyo?
Anaunga mkono/anatumikia burungutu alilopewa. Lazima aisemee aitumikie pesa aliyopewa. Anajua sana ila makusudi tu.Kwa hiyo jamaa anaunga mkono hii tume kuwa ni nzuri?.
Maajabu makubwa.