Julius Nyaisanga 'Uncle J' aacha kazi

Kuna sehemu nimesikia yuko sauti ya Ujerumani kwasasa so sifahamu ni baada ya kutimuliwa au kajitimua? Kwani kodi lazima zichangiwe kwenye ulabu? Na hao mademu anachangiaje hizo kodi? Anyway hayo ni maisha binafsi ya mtu though!
 
Mkuu uncle J (Julius Nyaisanga) yupo Ujerumani toka Februari/09 anafanya kazi Deutchwelle sauti ya kiswahili na akina Aboubakar Lyongo na Mkuu wa Wilaya Bw. Michuzi naye yupo mbioni kwenda huko.

Chema chajiuza kibaya chajitembeza!!
 
Hivi ni bbc au ujerumani??akamalizie game lake huko maana fainali ndioo hii sasa...
 
Alikuwa mahiri sana..
Nitamkumbuka sana hasa kipindi Mahiri cha Mambo MSETO'
R.I.P NYAISANGA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…