Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu uncle J (Julius Nyaisanga) yupo Ujerumani toka Februari/09 anafanya kazi Deutchwelle sauti ya kiswahili na akina Aboubakar Lyongo na Mkuu wa Wilaya Bw. Michuzi naye yupo mbioni kwenda huko.
Yes namaanisha nilichoandika wote nawafahamu.sidhani kama unaimanisha ulichoandika hapo, vinginevyo humjui Joyce!
Of course i am a proud Nyalu aisee from Nyalu land...and no its not true kuwa wanyalu wanakula Mbwa..nikamsemo tuu hako.
Sema tu ilikuwa zamani lakini kuna ukweli mama niangusege. AU?
Niangusage kwenye matuta ya fiazi, usivute chupi yenyewe ya dada hiyo!
kwikwikwi AU ukikuta hana chupi anakwambia "chupi yenyewe kaasima dada kaenda mjini"
kwikwikwi AU ukikuta hana chupi anakwambia "chupi yenyewe kaasima dada kaenda mjini"