Huyu jamaa ni director producer na muigizaji wa movie za kutisha kutokea mkoani mwanza.baadhi ya movie alizowahi kuzitoa ni ile yaCHOZI LA URITHI hii movie ilimpa umaarufu si mwanza tu hadi dar na mikoa mingine waliipokea vizuri hii kazi yake,baada ya muda akaja na movie nyingine kali ya SALADINI hii movie ilikuwa hatar aiseeh kwani ufundi uliotumika kwenye hii movie ni wa hali ya juu,nimpongeze jully kwa hili.yaani movie zake ni za kipekee huyu jamaa sijui anatumiaga nini kwenye utengenezaji wake wa filamu.maana utakuta mtu anavunjwa mguu kama kweli,kichwa yaani huyu jamaa hatari..sema tu ni mshamba kidogo kwani uigizaji wake auendani na ushindani wa soko la filamu apa tanzania ila alifanya vizur sana kipindi cha nyuma.sasa ivi sijui yuko wapi huyu jamaa.sijaona movie zake mda kidogo.kama unanisikia kaka rudi kwenye game tumemis kazi zako