July 7,2005

July 7,2005

mcTobby, umepotea sana Mkuu, toka tarehe 04/06/2023? Unatuangusha sana wanao Mkuu! Hebu tupia tena muendelezo wake Boss!!
 
Huo ni ugaidi, si msingi wa jihadi, kujitoa muhanga ni kosa, kuua mtu asiye na hatiani kosa. Kufata dini kwa mihemko bila fikra huru lazima upotoke sehemu.

Lazima tu some dini.. Na hili ndilo la kwanza kwa mtume, alikazaniwa asome,
Vita ya kwanza mtume alipigana baada ya kuhama makkah ambao walikua wanakataza kuabudu, wanateswa, akahamia madina alikopata hifadhi, watu wa makkah hawakuridhika, wakawa wanawavizia njiani, wanapora misafara, choko choko haziishi, ndio mtume kuzichapa, sababu ya uonevu kuzidi.
Sasa wewe mtu unaswali kwa uhuru, unafanya kila jambo, jihadi ya nini.. Unakuta mtu wanakimbilia jihadi ila hata swala ambayo ndio nguzo kuu ya uislamu haifanyi... Mtu anakua brainwashed anapigana jihadi kumbe mzinifu, mzurumati.. Huu sio uislamu.

Enzi za mtume(nazungumzia himaya yake) kulikuwa na mayahudi, manaswara(wakristo) je aliwachinja, au waliishi kwa amani mradi tu hawavunji sheria za pale?

Kama mayahudi na manaswara ni wabaya mbona kulikuwepo sheria(ruhusa) kuwaoa hao watu wa kitabu(ahlul kitabu) mtu mbaya utapewa ruhusa umuoe.

Jihadi kubwa kabisa iliyobaki ni mtu na nafsi yake, labda kwa wale wanaoteseka na kunyanyaswa, hawa wana haki ya kupigana, kujitetea.
Heee
 
1. Je ni kweli Palestina anakaliwa kimabavu? Ni kweli.

2. Je ni kweli wa Palestina walijaribu njia nyingine za amani kudai haki yako? Ni kweli

3. Je walipata haki zao? Bado wapo kwenye utawala wa kimabavu

4. Je wapalestina wapo salama kwenye ardhi yao? Hapana

5. Je Israel walipata walichotaka? Ndio richa ya kuivamia Palestina bado walipewa 51% ya ardhi bora ya Palestina na bado wanaikalia kimabavu sehemu ndogo waliyopewa wapalestina

6. Nani adui wa Palestina? Uingereza, Marekani na Israel

7. Je raia wa Marekani au Uingereza hawana hatia? Wanahatia, hapa Tanzania kwa mfano tunalipa kodi kwa ajili ya matumizi yetu kama kujenga barabara, kulipa mishahara ya wafanyakazi wa umma n.k
Wamarekani wanalipa kodi, kodi zinazotumika kuua mamilioni ya watu kilimeta nyingi kutoka walipo, kwanini Osama hakushambulia majengo ya China, India, Russia, Brazil au South Africa?

8. Palestina wafanye nini ili wapate haki yao? Option ni moja ukiwa kwenye ardhi yangu na hakuna njia yoyote tena ya kistaarabu ninayoweza kuitumia na ikafanya kazi, lazima nitumie njia yoyote ile nitakayoweza ili uweze kuelewa

"The oppressed" ana haki ya kutumia njia yoyote ile necessary kupambana na "The oppresser"

Makundi kama HAMAS yanapokosea ni kutumia Uislamu kama mwamvuli wa kupata support kutoka kwa nchi za kiislamu

Hii inafanya iwe rahisi kwa Wataalamu wa propaganda wa magharibi kuwa onyesha kwa watu kama "Religious fanatics" ambao hawapendi maisha ya kimagharibi au wasio waislamu wakati kuna sababu nzuri tu tena zinazoingia akilini za wao kufanya wanachofanya

Moja kati ya maamuzi ya hovyo waliyafanya ni ku link dini na political struggles zao, hii ni karne ya 21 sio ya 7

Hakuna atakaye kufa ajili yako kwa sababu mnaswali msikiti mmoja.

Kuna utengano mkubwa kwenye hizo zinazojiita nchi za kiarabu unaofanya ziwe watumwa wa Marekani

Kwa kifupi, HAMAS na makundi ya namna hio wanahaki ya kufanya wanachofanya ila wanapo changanya uislamu na matatizo yao ya kisiasa wanapoteza uhalali wote, kunakua hakuna tofauti kati yao na makundi kweli ya kigaidi kama ISIS yanayofadhiliwa na watesi wao.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Back
Top Bottom