Hujui ukisemacho.Hakuna signing fee kwa mchezaji,anayemaliza mkataba wake,fee hiyo hulipwa mara moja tu kwa mchezaji mpya tu
Mi nimeshamuelewa...nguvu nyingi anayotumia ni kutaka tu kujustify kuwa kipigo cha nne mechi iliuzwa...ukimwabia athibitishe anazunguka tu....mambo hayo yashapitwa na wakati...Barca mwenyewe anapigwa nane sembuse Yanga beki Makapu...Mashabiki wa hivi wanakera sana sometimesWe nyani acha uongo yondani aliingia mwishoni hamtaki kukubali timu yenu mbovu
Hawa jamaa kila walifungwa wanatafuta sababu nje ya mpira lakini wao wakishinda ni ushindi halali hata wafunge kwa mkonoMi nimeshamuelewa...nguvu nyingi anayotumia ni kutaka tu kujustify kuwa kipigo cha nne mechi iliuzwa...ukimwabia athibitishe anazunguka tu....mambo hayo yashapitwa na wakati...Barca mwenyewe anapigwa nane sembuse Yanga beki Makapu...Mashabiki wa hivi wanakera sana sometimes
Sijapata taarifa zake MkuuOoh...
Na Abdul?
Kwa taarifa yako ni hekima imetumika, hata wangekubari kusainiwa bure ,lingezukq jingine ,amini hata kama wangekubari kucheza bila mshahara wasingesajiliwaUnaweza kuprove hilo? na kama ishu ingekua ni kuuza mechi why bargains?
Si wangemuacha tu...sasa mambo ya "ooh! Tutakulipa mshara tu hatutakupa hela ya usajili" yalitoka wapi? Kubargain na msaliti wa kuuza mechi kweli? Hebu thibitisha hilo pasi na shaka mkuu maana ni tuhuma nzito sana.
Iko vizuri kushindana na Mbao FC, Simba na nyingine za hapa ndani, ila ikitoka nje ni majanga. Na hili ni kwa timu zote kubwa hapa bongo.Beki ya Yanga ipo vizuri. ni wakati sasa wabongo tuache kudhani hizi timu kama mtibwa, prisons, kmc hazina wachezaji wazuri. Hizi timu nazo ni nzuri na zinaweza kutoa ushindani ligi yeyote Africa mashariki na kati.
Mambo ya Simba na yanga kuzifunga 6 au 7 yamepitwa na wakati.
Kasign lini mkuuKelvin yondani ka sign NAMUNGO FC.
Unaweza thibitisha? Kama haiwezekani ni bora ukae tu kimya ,kwani unajua wazi hakuna anayeweza amini maneno matupu..ni upotezaji wa muda.Kwa taarifa yako ni hekima imetumika, hata wangekubari kusainiwa bure ,lingezukq jingine ,amini hata kama wangekubari kucheza bila mshahara wasingesajiliwa
Yondani yupo NamungoKwa namna Beki yetu haipandishi mashambulizi mbele, naomba mrudisheni Juma Abdul.
Nimejikuta nawakumbuka hawa wachezaji maana walikaa hata mda wa shida ya pesa.
Ameshakubaliana kila kitu na namungo na j4 ndio official ana sign na kumtambulisha pamoja na Adam SalambaKasign lini mkuu
Swadakta. No signing fee on contract renewal period. Well said.Hakuna signing fee kwa mchezaji,anayemaliza mkataba wake,fee hiyo hulipwa mara moja tu kwa mchezaji mpya tu
Haya juma abdul sasa yuko zambia kwa majaribio,na yondani yupo namungoKwa namna Beki yetu haipandishi mashambulizi mbele, naomba mrudisheni Juma Abdul.
Nimejikuta nawakumbuka hawa wachezaji maana walikaa hata mda wa shida ya pesa.
Km wanaruhusu kupigwa nyingi ss tutawasaidiaje.wapigwe tu hamna namna.Beki ya Yanga ipo vizuri. ni wakati sasa wabongo tuache kudhani hizi timu kama mtibwa, prisons, kmc hazina wachezaji wazuri. Hizi timu nazo ni nzuri na zinaweza kutoa ushindani ligi yeyote Africa mashariki na kati.
Mambo ya Simba na yanga kuzifunga 6 au 7 yamepitwa na wakati.