Juma Abdul na Yondani wapo wapi?

Juma Abdul na Yondani wapo wapi?

Kwa namna Beki yetu haipandishi mashambulizi mbele, naomba mrudisheni Juma Abdul.
Nimejikuta nawakumbuka hawa wachezaji maana walikaa hata mda wa shida ya pesa.
Yanga wanashangaza Sana. Sasa Deus Kaseke ndo anakua mbadala wa Juma Abdul, sababu tu ni mshambuliaji basi atakua anapanda mbele.
 
Sio udaku, ni kweli na walihojiwa na uongozi wa yanga kwa ushahidi, wakakiri basi qalaachwa tu
Si kweli. Hawakuachwa kwa sababu eti walikiri kuuza timu, ila Yanga ilitaka iwape mikataba mipya bila kuwepo kwa signing fee. Kama sababu ni hiyo ya kuuza timu, kwa nini sasa Yanga iliwaandalia mikataba mipya?
 
Hakuna signing fee kwa mchezaji,anayemaliza mkataba wake,fee hiyo hulipwa mara moja tu kwa mchezaji mpya tu
 
Na mimi sijasema lazima iwepo, ila nilichosema ni kukanusha sababu ya kuwaacha hao wachezaji. Wao walitaka walipwe signing fee, Yanga ikakataa ikasema wasubiri mishahara tu, wakaachwa. Nakanusha hiyo sababu ya kuuza mechi, hata kama walikuwa wanauza, lakini haikuwa sababu ya kuwaacha
 
Sababu ya kuwaacha ni kuuza timu,na walioneshwa ushahidi ndio maana wamenyamaza kimya
 
Sasa mbona kimataifa tunakuwa mdebwedo goli 5,4,6 huwa ni aibu tu?
Hizo no mbinu nyingine ukiachana na Moira wenyewe, Kuna baadhi ya both vidogo vidogo vinavyofanya timu ngeni ipoteze mwelekeo.
Hapa bongo Al ahly, Esperance, USM Algiers, As Vita, Enyimba zishafungwa mbona Wala so Mara Moja?
 
Kwanza jiulize why hoja hii ilikuja yanga,kulikuwa na matukio fulani ambayo yalifuatana,kuhusu kufungwa kwa yanga,kwa zaidi ya mara tano waliwekeqa mtego na wakanasa kwenye mtego,wakahojiwa wakakiri,sasa kama ingekuwa,wakiachwa kwa hoja ya kutoewana kwenye malipo basi wangechukuliwa na timu zingine,yapo mambo ambayo hayawekwi hadharani,lakini ipo siku yatafumuka.hebu jiulize simba si walikataa kuwa kagere na sven hawakupigana,umeona sven hampangi kagere,na mwishowe sven kasema kitendo cha kagere kumuwekea paji lake la uso usoni kwake ni kitendo cha kupigana
ni member wa mda mrefu ila unaandika utopolo tuu.
tunajadili mambo ya Abdul na Yondani unaanza kuleta kagere na sven ?
Eti Abdul na Yondani waliuza mechi ndo maana hawajasajiliwa kwingine . Hiyo simu bora unyang'anywe unaandika takataka tuu.
 
Sababu ya kuwaacha ni kuuza timu,na walioneshwa ushahidi ndio maana wamenyamaza kimya

1600594480356.png
 
Hakuna signing fee kwa mchezaji,anayemaliza mkataba wake,fee hiyo hulipwa mara moja tu kwa mchezaji mpya tu
Sawa,
Lakin Mchezaji huyo akienda timu ingine analipwa signing fees. Kama timu bado inahitaji huduma ya huyo Mchezaji mkataba mpya kwa malipo ya Mshahara tu sio poa.
 
Kwanza jiulize why hoja hii ilikuja yanga,kulikuwa na matukio fulani ambayo yalifuatana,kuhusu kufungwa kwa yanga,kwa zaidi ya mara tano waliwekeqa mtego na wakanasa kwenye mtego,wakahojiwa wakakiri,sasa kama ingekuwa,wakiachwa kwa hoja ya kutoewana kwenye malipo basi wangechukuliwa na timu zingine,yapo mambo ambayo hayawekwi hadharani,lakini ipo siku yatafumuka.hebu jiulize simba si walikataa kuwa kagere na sven hawakupigana,umeona sven hampangi kagere,na mwishowe sven kasema kitendo cha kagere kumuwekea paji lake la uso usoni kwake ni kitendo cha kupigana
mara umehamia kwa kagere.
 
Kagere hapangwi kabla ya tetesi za kupigana...kuhusu kuuza mechi hakuna ulichoprove Zaidi ya kuendelea kuleta tetesi tu...anyways tuishie hapa tu.
 
Back
Top Bottom