Kwanza jiulize why hoja hii ilikuja yanga,kulikuwa na matukio fulani ambayo yalifuatana,kuhusu kufungwa kwa yanga,kwa zaidi ya mara tano waliwekeqa mtego na wakanasa kwenye mtego,wakahojiwa wakakiri,sasa kama ingekuwa,wakiachwa kwa hoja ya kutoewana kwenye malipo basi wangechukuliwa na timu zingine,yapo mambo ambayo hayawekwi hadharani,lakini ipo siku yatafumuka.hebu jiulize simba si walikataa kuwa kagere na sven hawakupigana,umeona sven hampangi kagere,na mwishowe sven kasema kitendo cha kagere kumuwekea paji lake la uso usoni kwake ni kitendo cha kupigana