KikulachoChako JF-Expert Member Joined Jul 21, 2013 Posts 19,185 Reaction score 37,239 Sep 25, 2020 #61 usiniguse said: Kwa taarifa yako ni hekima imetumika, hata wangekubari kusainiwa bure ,lingezukq jingine ,amini hata kama wangekubari kucheza bila mshahara wasingesajiliwa Click to expand... Hii ni athari ya moyo kushindwa kukubaliana uhalisia.......hapo unatafuta namna ya kujipooza!......
usiniguse said: Kwa taarifa yako ni hekima imetumika, hata wangekubari kusainiwa bure ,lingezukq jingine ,amini hata kama wangekubari kucheza bila mshahara wasingesajiliwa Click to expand... Hii ni athari ya moyo kushindwa kukubaliana uhalisia.......hapo unatafuta namna ya kujipooza!......
Mac Alpho JF-Expert Member Joined Aug 5, 2019 Posts 13,953 Reaction score 27,825 Sep 26, 2020 #62 Mkuu Pdidy , Leo tunatokaje? Kama una link ya channel yoyote niwekee link mkuu.
logframe JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 4,242 Reaction score 5,543 Sep 27, 2020 Thread starter #63 Aisee