Kama umemsikia kwenye mahojiano ya Kikeke vyama vinaruhusiwa kukutana kwenye vikao vyao vya kikatiba, na mna vikao vikao vingi sana vya kikatiba kuanzia taifa mpaka kata, why msivitumie hivyo kuwaelimisha wanachama wenu and nao wawe maagent huko mitaani? Mbowe kazunguka nchi nzima na CHADEMA digitali na haki alizuiwa? Si alifanya press akasifia polisi.
Ishu hapa ni kuwa hii mikutano ya hadhara na makongamano ni njia rahisi na ya wazi ya wajanja wachache ndani ya chama kula hela (kupitia posho mbalimbali za safari), kutengeneza halali ya kuomba hela kwa hao wanaowapa hizo hela na kuhalalisha matumizi haramu ya fedha.