Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Hata chama anachotoka hakijulikani kapachikwa na CCMHuyo aliyesema hayo maneno ni mpumbavu wahed.
Kwanza rais hapatikani bila kusimamishwa na chama. Amejidai eti yuko neutral kwa kutumia neno “vyama”, huku reference ikiwa ni chadema. Stupid.
Huyo ni CCM kama CCM wengineVipaumbele vya serikali vinapolalamikiwa na wapiga kura vinasikilizwa na nani?Je,iwapo serikali iliwadharau wapiga kura na kuzichakachua kura zao wanaenda kulalamikia wapi?
Swala langu lengine ni kwako Mwenyekiti,kama utakuwa muungwana utanijibu na hili.Je,wewe Mh.Juma Ali Khatib ni mwanachama wa chama gani cha siasa hapa Tanzania?
DuhKwa ufupi;
Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa nchini, Juma Ali Khatib amevitaka vyama vya siasa kuacha kutoa mashinikizo kwa Rais Samia ikiwemo madai ya katiba mpya na kutishia kufanya maandamano, kwani hivyo sio vipaumbele vya serikali vinavyotokana na matakwa ya wapiga kura.
Badala ya kutusikiliza sisi tunaomwambia adui yake wanaganga njaa ya leo-Rushwa(kuahidiwa madaraka,fedha,fadhila,vitisho au kubambikiwa).Only in Tz utakumbana na mijitu mikubwa kiumri lakin haina akiri, inafanya kazi kwa mujibu wa aliyeyapa utapiamlo!
Tatizo ni pale criticisms zinapogeuka kuwa matusi na kumwambia mwaka huu hamalizi anakufa
Kama umemsikia kwenye mahojiano ya Kikeke vyama vinaruhusiwa kukutana kwenye vikao vyao vya kikatiba, na mna vikao vikao vingi sana vya kikatiba kuanzia taifa mpaka kata, why msivitumie hivyo kuwaelimisha wanachama wenu and nao wawe maagent huko mitaani? Mbowe kazunguka nchi nzima na CHADEMA digitali na haki alizuiwa? Si alifanya press akasifia polisi...Ni kwasababu ya uonevu wa CCM dhidi ya wapinzani.
..Kama Maza hataki kujadili katiba, kwanini azuie vyama vingine kuelimishana na kujadili katiba?
Kama umemsikia kwenye mahojiano ya Kikeke vyama vinaruhusiwa kukutana kwenye vikao vyao vya kikatiba, na mna vikao vikao vingi sana vya kikatiba kuanzia taifa mpaka kata, why msivitumie hivyo kuwaelimisha wanachama wenu and nao wawe maagent huko mitaani? Mbowe kazunguka nchi nzima na CHADEMA digitali na haki alizuiwa? Si alifanya press akasifia polisi.
Ishu hapa ni kuwa hii mikutano ya hadhara na makongamano ni njia rahisi na ya wazi ya wajanja wachache ndani ya chama kula hela (kupitia posho mbalimbali za safari), kutengeneza halali ya kuomba hela kwa hao wanaowapa hizo hela na kuhalalisha matumizi haramu ya fedha.