GE2025 Juma Aweso ajitosa tena kugombea ubunge jimbo la Pangani

GE2025 Juma Aweso ajitosa tena kugombea ubunge jimbo la Pangani

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Waziri wa maji Juma Aweso naye amechukua fomu ya ubunge jimbo la Pangani kutetea nafasi yake tena katika kipindi kingine cha miaka 5 ijayo

Ninamshukuru sana Mungu kwa kunipa kibali;

Nimechukua na kurejesha fomu ya kugombea tena Ubunge wa jimbo la Pangani mkoani Tanga kwa tiketi ya chama cha Mapinduzi CCM leo tarehe 28 June 2025 iliokabidhiwa na kupokelewa baada ya kurejeshwa na Katibu wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Pangani ndugu Abdul Swala.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Ndugu zangu wana Pangani ninaomba ridhaa yenu tena.

snapins-ai_3665036321680283918.jpg
snapins-ai_3665036321479179390.jpg
 
Back
Top Bottom