Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
“Refa wa leo apewe derby nimependa namna ambavyo ametafsiri sheria ya mpira, Simba penalty zote 3 ni clear kabisa hakuna doubt hata kidogo.
Huu mpira tunaucheza na tunaujua lazima tuwe wakweli
Kudos kwa mwamuzi...hajaangalia idadi ya penalty anazotoa ameangalia zaidi matukio”
Hayo ni maneno ya Juma Ayo mtangazaji wa michezo wa Crown Fm