LGE2024 Juma Duni Haji: Serikali ya Mtaa ndio Ufalme wenu, pigeni kura

LGE2024 Juma Duni Haji: Serikali ya Mtaa ndio Ufalme wenu, pigeni kura

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Mwenyekiti Mstaafu wa ACT Wazalendo, Juma Duni Haji akiwanadi wagombea wa ACT Wazalendo wa Mitaa ya Mwinyimkuu na Idrisa katika mkutano uliofanyika Mtaa wa Mwinyimkuu Kata ya Mzimuni Jimbo la Kinondoni, Novemba 22, 2024, amesema:

"Sasa nyinyi mumeachiwa mitaa miwili. Itakuwa miujiza mitaa hii musishinde. Itakuwa miujiza kura muzipoteze. Itakuwa miujiza musiende kupiga kura. Maana miaka 5 migumu itakuja tena. Kwa hivyo kapigeni kura."
 
Back
Top Bottom