FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Awali kabla ya Corona ilikuwa ni akina nani?Kwani wanaotakiwa "kuletwa humu" ni akina nani tu? Hebu tukumbushane tusaidiane.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Awali kabla ya Corona ilikuwa ni akina nani?Kwani wanaotakiwa "kuletwa humu" ni akina nani tu? Hebu tukumbushane tusaidiane.
Ni Abdallah Kitia au Juma Jerry ama ndio huyo huyo?!View attachment 1447041
Mpiga kinanda maarufu wa Bendi ya Tanzania One Theatre (TOT), Juma Jerry 'JJ Mzee wa Mbezi' amefariki dunia leo Mei 10, 2020.
Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa TOT Gasper Tumaini, marehemu amefariki leo jioni katika Hospitali ya Lugalo jijini Dar es Salaam alipokuwa amelazwa tangu jana Mei 9, 2020 ambapo alikuwa anasumbuliwa na shinikizo la damu.
Hata mimi ningependa kufahamu, halafu leo ni may 10?Ni Abdallah Kitia au Juma Jerry ama ndio huyo huyo?!
Ni Juma JerryNi Abdallah Kitia au Juma Jerry ama ndio huyo huyo?!
Sasa Abdalla Kitia umemtoa wapi?!Ni Juma Jerry