Afande sele
Hizi fashion hizi, wacha waitwe wasanii tuMbona nguo imechanika [emoji111]
Kuna style yetu wa enzi zike wanatuwekea viraka badala ya matobo.Write your reply...me saivi nimeacha kuvaa jeans zilichanika kwenye mapaja bora kwenye magoti.
Ukitaka kumuona baba yangu Ni katili, nenda na rafki yako home amevaa hii mijinzi iliyochanwachanwa