hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
Afadhali hizi picture zimewasilisha vyema " content ya mtoa madaSOMA IYOOOO,,Nani bado anabisha kuwa Jux ni noma kwa viwalo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afadhali hizi picture zimewasilisha vyema " content ya mtoa madaSOMA IYOOOO,,Nani bado anabisha kuwa Jux ni noma kwa viwalo?
Ubaya wa kuwa mtu wa fashion sana picha kama hizi miaka ya mbele atakuwa kichekesho!!!
Uyu dogo kwao wakishua sana kwaoSOMA IYOOOO,,Nani bado anabisha kuwa Jux ni noma kwa viwalo?
Yes dogo Yuko vizuri sana hata kwenye game ya muziki anafanya vizuriSOMA IYOOOO,,Nani bado anabisha kuwa Jux ni noma kwa viwalo?
Dr. Joti
Anafanya vizuri kwenye "game" ya muziki kuliko nani?Yes dogo Yuko vizuri sana hata kwenye game ya muziki anafanya vizuri
Kusema kuliko Nani mi ngumu , kwani utaniuliza umetumia vigezo ganiAnafanya vizuri kwenye "game" ya muziki kuliko nani?