Juma Jux muziki unamlipa sana. Avuta Ndinga ya hataree

notifeki

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2013
Posts
402
Reaction score
283
Mbongo fleva ambaye hapati shoo hata za mchangani ana make mkwanja mrefu kuliko mpiga shoo yeyote yule kwenye gemu hii. Mdau huyu ambaye kashazama uvunguni mwa boss lady jack cliff. Hii imethibitishwa na aina ya maisha ghali anayoishi mdau huyu kwenye instagram baada ya kuongeza ndinga aina ya nissan fuga ambalo spea zake bongo hamna hadi ukanunue china lenye gharama mara tatu ya mark x ya mmanyema ommy dimpo, barnaba, mwanafa na wema sepetu.
 

Attachments

  • image.jpg
    347.8 KB · Views: 4,024
  • image.jpg
    231.4 KB · Views: 3,918
  • image.jpg
    237.9 KB · Views: 3,745
Mnaweza kunitajia wimbo wowote aliyoiimba huyo msanii?
 
Wanavyonunua haya magari huwa wanafanya research kwanza au wananunua tu gari nzuri na kubwa??
 
Watoto wa kizungu huu ujinga wa kujionesha hivi hawana why? Because they believe in themselves and know their values! Wa-Afrika we suffer from lack of confidence and low self esteem! ShowOff ShowOff tu na bling bling tu!!. Ukiwauliza plan zao za maisha in next 5years hawajui!!
 
Kumbe siku hizi WADOSI hawabani tena?

"Nlikuwepo":bolt:
 

mkuu hata malimbukeni wakizungu wapo,nasikia kuna RKOI(RICH KIDS OF Instagram) wazungu hao..
Ila huyu mhhh power of sembe
 

watakuambia,
'in 5 Years,I wanna be like P.Diddy...On Forbes List Maaaaan'
 
Mbona nasikiag huyo jamaa wa kishua sana au ni fix
 
mkuu hata malimbukeni wakizungu wapo,nasikia kuna RKOI(RICH KIDS OF Instagram) wazungu hao..
Ila huyu mhhh power of sembe
vijana wa RKOI ni balaa, ukiangalia picha zao utajihisi wewe unadumu tu ila wao ndo wanaishi
 
duniani hakuna kitu cha cha msingi kuwa nacho kama ufahamu,nissan fuga ni gari ya kawaida kabisa sawa na mark x na bei yake si kubwa kama unavyodai ,kwa 20m unapata nissan fuga safi tu,kuna watu hapa tanzania walibambikizwa gari hizo kwa tsh 75 m,zilipoanza kujitokeza katika soko la tanzania,na wao walikosa ufahamu na kununua kwa kiasi hiko,mtoa mada kama huamini lete 19.5 m tu nikuachie nissan fuga!!!!ukawatambie wasiojua kama wewe!!!
 
Dogo huyo anatesea hela za mama ake,wakishua tangia kitambo mie nimesoma nae pamoja na dada ake anaitwa fetty green acres hawana shida hao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…