Mbongo fleva ambaye hapati shoo hata za mchangani ana make mkwanja mrefu kuliko mpiga shoo yeyote yule kwenye gemu hii. Mdau huyu ambaye kashazama uvunguni mwa boss lady jack cliff. Hii imethibitishwa na aina ya maisha ghali anayoishi mdau huyu kwenye instagram baada ya kuongeza ndinga aina ya nissan fuga ambalo spea zake bongo hamna hadi ukanunue china lenye gharama mara tatu ya mark x ya mmanyema ommy dimpo, barnaba, mwanafa na wema sepetu.