Dogo huyo anatesea hela za mama ake,wakishua tangia kitambo mie nimesoma nae pamoja na dada ake anaitwa fetty green acres hawana shida hao.
vijana wa RKOI ni balaa, ukiangalia picha zao utajihisi wewe unadumu tu ila wao ndo wanaishi
Dogo huyo anatesea hela za mama ake,wakishua tangia kitambo mie nimesoma nae pamoja na dada ake anaitwa fetty green acres hawana shida hao.
Mnaweza kunitajia wimbo wowote aliyoiimba huyo msanii?
kaimba wimbo gani huyu
uzuri wakoo...uzuri,uzurii wako......mnaweza kunitajia wimbo wowote aliyoiimba huyo msanii?
Kumbe hii gari bei yake iko juu sana ehee?
Kuna kipindi nilitaka kuiagizia kumbe nilikuwa nabip kujamba wakati ninaharisha lol
Kumbe hii gari bei yake iko juu sana ehee?
Kuna kipindi nilitaka kuiagizia kumbe nilikuwa nabip kujamba wakati ninaharisha lol
Okiii. hiyo nyimbo nilishawahi kuisikia sikia.uzuri wakoo...uzuri,uzurii wako......
Sembeeeeeeeeeeee woyeeeeeeee
Acha hizo. Mama ake ni muuza sembe kitambo ndo mzigo wa jack clif wa kwake huo. Tena yupo kwenye orodha ile
ulizani corolla hilo? hilo Benzi,,,,
Kumbe hata wewe dear unamjua jamaa ni Mull,anakuja kututambia na u drug dealer!!
ulizani corolla hilo? hilo Benzi,,,,
Benzi tena mzee,,,hiyo nissan fuga,,,mzee