Juma Jux muziki unamlipa sana. Avuta Ndinga ya hataree

Juma Jux muziki unamlipa sana. Avuta Ndinga ya hataree

Dogo huyo anatesea hela za mama ake,wakishua tangia kitambo mie nimesoma nae pamoja na dada ake anaitwa fetty green acres hawana shida hao.

Kweli wewe unamjua jamaa kwao yupo njema hata mziki anaofanya ni kwa kujifuraisha aimbii njaa kama ndomo , pesa kazaliwa nazo uyo wana pesa hatat
 
Dogo huyo anatesea hela za mama ake,wakishua tangia kitambo mie nimesoma nae pamoja na dada ake anaitwa fetty green acres hawana shida hao.

Acha hizo. Mama ake ni muuza sembe kitambo ndo mzigo wa jack clif wa kwake huo. Tena yupo kwenye orodha ile
 
Acha ushamba wewe unashobokea wazungu na kujidharau ww na rangi yako kwani haujaona mfano mwingine zaidi ya watoto wa kizungu huo ushamba na utumwa wa fikra
 
Kumbe hii gari bei yake iko juu sana ehee?
Kuna kipindi nilitaka kuiagizia kumbe nilikuwa nabip kujamba wakati ninaharisha lol
 
Kumbe hii gari bei yake iko juu sana ehee?
Kuna kipindi nilitaka kuiagizia kumbe nilikuwa nabip kujamba wakati ninaharisha lol

Hahhhahhgahhhahhhahhaaaa
 
Kumbe hii gari bei yake iko juu sana ehee?
Kuna kipindi nilitaka kuiagizia kumbe nilikuwa nabip kujamba wakati ninaharisha lol

ulizani corolla hilo? hilo Benzi,,,,
 
wengi wanasema ukiwa na jina town. ndo kaa huyo mshkaji sijui ndo juice au jux. ni kweli hata mie simsikiagi kiivyo kwenye ma-show ila dili zake nazo hazisomeki. mara yuko asia mara karudi home. so mjini hapa, naona kama jina linawasaidia kufanya mishe mishe zao. we lala wenzako wanatafuta DOOH, mjini mipango.
 
Kumbe hata wewe dear unamjua jamaa ni Mull,anakuja kututambia na u drug dealer!!

Ndio habari ya mjini atatutanganya mziki unalipa mbona kwa wengine haulipii??na mie sijui nianziee wapi na mi ninunu hata GX loll unaweza kufa hata bajaji hunaaa magari unayasikilizia kwa kina fulani tu lolllllllllllllllllll
 
Benzi tena mzee,,,hiyo nissan fuga,,,mzee

I know That. Just having a cheap laugh. Gari ya bei chee sana hiyo kwa muuza unga nilikuwa nataka niwaone wabongo watasemaje. Wabongo wengi choka mbaya. Hawajui vitu. Ironic hakuna anaeshangaa muuza unga ku showoff gari ya kichovu. Ni wazi biashara iko ngumu sasa baada ya kamata kamata. Hata mimi mwenye biashara halali nna mkoko wa maana kuliko huo.
 
Back
Top Bottom