Juma Jux muziki unamlipa sana. Avuta Ndinga ya hataree

Juma Jux muziki unamlipa sana. Avuta Ndinga ya hataree

I know That. Just having a cheap laugh. Gari ya bei chee sana hiyo kwa muuza unga nilikuwa nataka niwaone wabongo watasemaje. Wabongo wengi choka mbaya. Hawajui vitu. Ironic hakuna anaeshangaa muuza unga ku showoff gari ya kichovu. Ni wazi biashara iko ngumu sasa baada ya kamata kamata. Hata mimi mwenye biashara halali nna mkoko wa maana kuliko huo.

Duh hongera zako bana,,sisi motokaa twazisikia tuu.
 
Mbongo fleva ambaye hapati shoo hata za mchangani ana make mkwanja mrefu kuliko mpiga shoo yeyote yule kwenye gemu hii. Mdau huyu ambaye kashazama uvunguni mwa boss lady jack cliff. Hii imethibitishwa na aina ya maisha ghali anayoishi mdau huyu kwenye instagram baada ya kuongeza ndinga aina ya nissan fuga ambalo spea zake bongo hamna hadi ukanunue china lenye gharama mara tatu ya mark x ya mmanyema ommy dimpo, barnaba, mwanafa na wema sepetu.

..Ila wabongo nasisi tumezidi kutia chumvi jamani.. kha!

fuga.jpg
 
Watoto wa kizungu huu ujinga wa kujionesha hivi hawana why? Because they believe in themselves and know their values! Wa-Afrika we suffer from lack of confidence and low self esteem! ShowOff ShowOff tu na bling bling tu!!. Ukiwauliza plan zao za maisha in next 5years hawajui!!
Mkuu umeandika ukweli mtubu...sisi ngozi nyeusi kuna mahali tuna tatizo
 
Hivi mbona wabongo mnamawazo hafifu hivi. Mbona mnawaza magari ya rahisi ya mjapan, mchina etc. Hivi hamuonagi machuma ya Mwingereza mjerumani etc. Mbona sijssikia mbongo kavuta hata toyota mpya sio mtumba wa mchina au mjapan? Acheni ushamba nyie.
 
mshamba ni mtu wa namna gani?
 
Back
Top Bottom