Lukub
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 3,622
- 4,100
Achana na footwork kupiga pass ,Juma k juma anapiga ,faulo na penalty ndani ya 90 minutes ukikutana na washambuliaji wa zamani waulize mwamba alivyokuwa anawageuza .kwa walioanza kuangalia ligi ya tz kupitia Azam hawajui vitu vya kaseja,lunyamila, Hussein masha,etcKaseja alikua kipa mzuri sana golini ila kwenye footwork sina uhakika analingana na Diarra