Mganguzi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 1,604
- 3,715
Namkumbuka huyu mwamba kuanzia miaka ya 2002 ,wengi wetu huenda walikuwa wadogo kabisa,,juma k juma,Tanzania one,huyu jamaa amecheza na wachezaji wengi ambao Leo ukiwaona ni wazee,,wakati beki ni bonfasi pawasa,kaseja alikuwa langoni,wakati matola ni mchezaji kaseja alikuwa langoni,wakati Steven mapunda garincha na primus kasonso ni wachezaji kaseja alikuwa langoni,wakati Joseph kaniki kumbakumba golota na Christopher Alex massawe wanacheza yeye kaseja alikuwa golini,Simba iliyowika afrika chini ya agrrey siang'a kasema alikuwa mamba one,makocha wote wakubwa waliopita Simba akiwemo mwamba Patrick phir kaseja alikuwepo, wakati huo Feisal salum wa yanga alikuwa darasa la kwanza au chekechekea,na john boko wa Simba alikuwa bado shule anasoma,Huku abdallah sopu alikuwa bado hajaanza,shule na George mpole alikuwa chekechea kaseja alikuwa langoni ,huyu ni mchawi wa soka Tanzania Yuko imara na bado yupo langoni ,tunaachaje kuthamini mchango wa huyu shujaa ,napendekeza awe kocha wa makipa Simba na taifa stars tumuenzi akiwa hai .juma kaseja ni shujaa wa kweli hapa TANZANIA