Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
Kipa JKJ anasema kuwa wana simba wamkumbuke kwa mabaya Yote aliowafanyia.
Yale mazuri Yote aliyowafanyia wayaache.
Yale mazuri Yote aliyowafanyia wayaache.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa huku watamkumbukaje wakati hajawa makumbusho?Hii habari haijakamilika bado, Ilikuwaje mpaka aitaje Simba, na Siyo mbeya city ambako anafanyia kazi.
Kipa JKJ anasema kuwa wana simba wamkumbuke kwa mabaya Yote aliowafanyia.
Yale mazuri Yote aliyowafanyia wayaache.
Umejitahidi..Kiukweli Juma Kaseja Wana Simba TUNAMPENDA Sana Tu ILA Kila TUKIKUMBUKA Alivyokuwa AKITUUZA Hasa Kwa AZAM Tukakosa Ubingwa Kisha Baadae Kwa Yanga Kupitia MAFIA Mkuu Wa Michezo Michafu Yanga Mzee Kifukwe HATUNA HAMU NAE TENA. Atusamehe Tu Na TUNAMTAKIA KILA LA KHERI HUKO ALIPO. Juma Kaseja Anapenda Mno Mchezo Wa 2 X 4 ( Namaanisha KUCHUKUA RUSHWA NA KUFUNGISHA KWA MAKUSUDI NA HATA UTAJIRI WAKE ALIOKUWA NAO NA AMBAO SASA UMETOWEKA BAADA YA MANJI KUMCHEZEA UMAFIA NA KUMFUNGULIA KESI ULITOKANA NA YEYE KUPENDA KUPOKEA RUSHWA ) Kamuambukiza Hadi Shaaban Kado Japo Wote Hao MWALIMU Wao Alikuwa Ni Golikipa Aman Simba. Naomba Niishie Hapa!
Inauma sanaKipa JKJ anasema kuwa wana simba wamkumbuke kwa mabaya Yote aliowafanyia.
Yale mazuri Yote aliyowafanyia wayaache.