Your Majesty
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 3,242
- 5,345
Haha utasikia waiter leta kili mbili mbili moja na nyingine baridi....hiyo chenji inayobaki mpatie akanunue kuberi
...... Kitu gani!Utajiju mimi ni nani na asili ya nchi gani,nikigundua we adui nakumiminia tu gun
Mjeruhi wa simba wa chui mjeruhi wa mbogoSITAKI DEMU
Nakuomba usije kwetu mamdogo utatia hasara
Uyo mdogo wangu mwenyewe toka atoke shule hajala
Aaah bwana eh usinifate bwana
We si ukalale uwape mbu faida bwana
Hivi aliyekwambia uzime taa humu ndani nani
Kila ukija nyumbani we unaondoka
Kila ukija nyumbani we unaondoka
Nimetokea upande wa pili nmeenda kwa kina bashir
Na usije kwetu hakuna kitenge wala kanga
Shauri ukija wazazi wangu watakuona mwanga
Nakumbuka ile siku ambayo umenisemelea kwa dingi
Ukadai ya kwamba me uwa nachanganya mitungi
Na kwenye kula ganja kilasiku sijivungi
Ukaondoka na cheko nyuma ukaacha kivumbi
Aya sasa unaona mwenzio umeniachia zogo
[emoji848][emoji848]Mzee wa Busara..anabadili mikao tuuu...anapaka wake huyo akilia nyauuuu.
Nikumbushe jina la ule wimbo wa 'usicheze mbali unga robo'Mtoto Iddi Kazua Balaa
Mbona nlikualert nipo town, saivi nko maeneo ya posta huku kuna ishu nimekuja kufuatiliaKwani chuomate hujarudi mtaani tu?