Juma Kasim Nature a.k.a kiroboto a.k.a kibra. ....

Uzuri wa uandishi mzuri mistari mmoja kwenye verse unaweza ukawa una maana mbili
Double entendre
 
Yule dada figure yake nyembamba, bonga nae usilete ushamba,

Sitaki maneno yako kwani hata mimi nna demu wangu [emoji23][emoji23]
Majita tupo wengi usizani mi nipo peke yangi!!
 
Nmekumbuka uzinduzi wa album ya nature na solo pale pool side kilimanjaro iliaribiwa kna vagi ilitokea basi ikawa wa nje anataka kuingia ndani na wa ndani akawa anataka toka nje....ilikuwa tafrani

Ova
 
Nmekumbuka uzinduzi wa album ya nature na solo pale pool side kilimanjaro iliaribiwa kna vagi ilitokea basi ikawa wa nje anataka kuingia ndani na wa ndani akawa anataka toka nje....ilikuwa tafrani

Ova
Watu walikuwa kama wako kwenye maandamano barabarani,kufika pool side Giza na vurugu mtindo mmoja,.ila lilikuwa bonge la shazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…