"kumbukeni zamani waungwana tulivyopata shida kwa katembo mtu amevimba, kwa akina HUSSEIN kuna msiba, kipindi hicho hospital kuwahi asubuhi asubuhi hata jogoo la kwanza halijaanza kuruka bonanza, unakuta msururu wa watu kutoka upanga mpaka feri, wogonjwa wote wameuchuna wanakutizama kwa kejeli nawakati huo wote Dr. KISUTU hajafika na raizoni zake waungwana mpeni ofa yake, eti alikuwa anaringa AIIII...akishafika pale yule Dr. anaenda kunywa chai, wengine wanakata tamaa Dr. kurudi saa sita (6), wengine hawataki baridi ngiri itawashika......"one of the finest "CCM NA CUF ft. Prof. J.