Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Mweyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Kibiti, Juma Kassim Ndaruke ametoa rai kwa wa Umoja wa Wanawake wa chama hicho Wilayani Kibiti kusimama kidete na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kutafuta kura za Urais kwenye kila eneo la Wilaya Kibiti.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
"Tusije kucheza na mtu yoyote mwenye viashiria vya kutaka kupungua kura za chama cha mapinduzi kwenye maeneo yote, niwaombe sana tusije kudhubutu kucheza na kudharau mipango yoyote itakayoleta viashiria vya kupunguza kura za Dkt. Samia kwenye maeneo tunayongoza, tukiruhusu mipango sisi ndo tutakuwa tumeyahujumu ,twende kwa nguvu kubwa kuhakikisha wilaya ya kibiti inakwenda wilaya kwanza kutafuta kura za mgombea wa urais 2025."