Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Mgombea wa kiti cha urais kupitia chama cha ADA Tadea Mheshimiwa Juma Ali Khatibamesema lengo la chama cha ADA TADEA ni kuendelea kuunga mkono juhudi za Serikali na kueka matumaini ya kuendelea kuongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae ni Mgombea kupitia Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCCM Dkt. Hussein Ali Mwinyi ili kuchochea maendeleo
Hayo yanajiri katika uzinduzi wa kampeni za za Chama hicho kuelekea Uchaguzi mkuu zilizofanyika wilaya ya magharib B viwanja vya magirisi ambapo Mgombea amesema nia yake ni kupata nafasi ya umakamu wa kwanza na Rais na kumuachia Dkt. Mwinyi kuendelea kushika nafasi ya Urais kutokana na usikivu na maendeleo makubwa aliyoyafanya.