Juma Lokole ampost mke mwenzie Wolper, aongea na Richmitindo live na kuthibitisha

Jannatul Firdaus

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2026
Posts
446
Reaction score
1,113
Mtangazaji na mwanamtandao maarufu Juma Lokole ameibua gumzo kubwa mitandaoni baada ya kuweka wazi mazungumzo yake ya simu na mfanyabiashara pamoja na mbunifu wa mavazi, Rich Mitindo.

Katika mazungumzo hayo, Lokole amemchana Rich Mitindo kuhusiana na kile kinachodaiwa kuwa ni mahusiano yake mapya ya kimapenzi na mwanamke tajiri kutoka nchini Kenya anayejulikana kwa jina la Amira, ambaye pia anatajwa kufanya biashara zake jijini Mbeya.

Wakati wa majadiliano hayo, Juma Lokole alionekana kumfanyia utani aliyekuwa mke wa Rich Mitindo, mwigizaji Jacqueline Wolper, akimshauri kwa dhihaka atafute kigoda akae barazani kwani mambo yameshabadilika na Rich ameshapata mpenzi mwingine mwenye muonekano wa kuvutia na uwezo mkubwa wa kifedha.

Lokole alizidi kumpampa sifa Amira na kusema wawili hao wanaendana sana, huku akimhimiza Rich kuratibu taratibu za ndoa ili mashabiki wapate nafasi ya kusherehekea.

Kwa upande wake, Rich Mitindo alionekana kuwa mpole na mtulivu wakati wote wa simu hiyo, akijaribu kupunguza ushabiki wa Lokole.

Rich alieleza kuwa anapendelea kuzingatia malengo yake ya kimaisha badala ya kuweka mambo yake binafsi wazi au kufuata maneno ya watu mtandaoni, ingawa Lokole aliendelea kumsisitiza kuwa taarifa hizo tayari zimeshazua gumzo na kuwashika mashabiki wengi.

​
 
Mke ni aliye na "uke".Sasa huyo Juma aliye lokoka ana uke?
 
Mambo ya wasanii wa kibongo...

Nawashangaa wanaobpaparukia wasanii, those bitches are rubbish
 
Mtangazaji na mwanamtandao maarufu Juma Lokole ameibua gumzo kubwa mitandaoni baada ya kuweka wazi mazungumzo yake ya simu na mfanyabiashara pamoja na mbunifu wa mavazi, Rich Mitindo.

Katika mazungumzo hayo, Lokole amemchana Rich Mitindo kuhusiana na kile kinachodaiwa kuwa ni mahusiano yake mapya ya kimapenzi na mwanamke tajiri kutoka nchini Kenya anayejulikana kwa jina la Amira, ambaye pia anatajwa kufanya biashara zake jijini Mbeya.

Wakati wa majadiliano hayo, Juma Lokole alionekana kumfanyia utani aliyekuwa mke wa Rich Mitindo, mwigizaji Jacqueline Wolper, akimshauri kwa dhihaka atafute kigoda akae barazani kwani mambo yameshabadilika na Rich ameshapata mpenzi mwingine mwenye muonekano wa kuvutia na uwezo mkubwa wa kifedha.

Lokole alizidi kumpampa sifa Amira na kusema wawili hao wanaendana sana, huku akimhimiza Rich kuratibu taratibu za ndoa ili mashabiki wapate nafasi ya kusherehekea.

Kwa upande wake, Rich Mitindo alionekana kuwa mpole na mtulivu wakati wote wa simu hiyo, akijaribu kupunguza ushabiki wa Lokole.

Rich alieleza kuwa anapendelea kuzingatia malengo yake ya kimaisha badala ya kuweka mambo yake binafsi wazi au kufuata maneno ya watu mtandaoni, ingawa Lokole aliendelea kumsisitiza kuwa taarifa hizo tayari zimeshazua gumzo na kuwashika mashabiki wengi.

Juma Lokole ni pungazeze hana future, anasuburi tu siku yake ya kufa, afe, azikwe Kiislam
 
Sura mbona kama SAJARI imepita?
 
Hu amira Richie mitindo hatamuweza kaabisa. Huyu aliachika kwa yule msomali tajiri wa kenya

Back
Top Bottom