Juma Lokole unafeli, wachaga ni kabila lenye mandsome, then top10 ya wanawake wazuri haipo

mwanamabadiliko

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2010
Posts
938
Reaction score
1,540
Huyu juma lokole anafeli sana, ametengeneza kautafiti feki, kinachoonesha makabila 10 yenye wanawake wazuri nchii hii, na kuwaweka nje ya Kumi bora wachaga.
Listi yake

1.Wairaki
2.Warangi
3.Wanyiramba
4.Wamasai
5.Wahaya
6.Wanyaturu
7.Wapare
8. Wamakonde
9.Wasambaa
10. Wanyakyusa

Hii listi ni feki haiwezekani kabila ambalo linashika namba moja kuwa na wanaume watanashati (Handsome) tena wenye pesa wachagga likose.

Kibaiolojia Kama Babá Handsome basi mtoto wake wa Kike atakuwa kisu, na ndio maana kwa mfano mastaa wengi wazuri ni wachaga, na wabaya wabaya ni wa Mbeya.

Lulu,poshqueen,tunda, wolper, etc

Lokole tengeneza listi upya, ni ndoto ya wanawake wengi wa kitanzania kuzaa na mwanaume wa kichaga

Nawasilisha
 
J. Lokole ndiye juma lukole!!!!. . Ila ndugu mtoa thread hebu anza kuwafuatilia na watu wa maana kiasi ili uweze kufuata kanuni za uandishi na upate kuulisha ubongo chakula chake vile inavyostahili.
 
really mkuu unabishana na lokole?..............
 
Bora sio tupo [emoji28][emoji28] japo nafasi ameikosea saana[emoji57][emoji57]
 
Hakuna mwanamke hata m1 duniana ambae ni mbaya. Tatizo ni matunzotu mjomba. Wanawake wote niwazuri sana.

Mungu ashukuriwa kwa kuumba wanawake. Niwazuri sana, wakati mwingine nawaza tungeishije bila wao?

watu wasiwaze ngono siyo maana yangu maana mwanamke ni faraja kwa mwanamume. kama rafiki mfariji na mshauri ndio maana yangu.
 
Hivi unaanzaje kubishana na shoga?

Ama unataka 'kuchambwa'?😂😂
 
Warembo kama akina hoyce tamu, saida kessy mbona wako kwenye urembo tena na elimu juu wacha wahangaike tu ila mwadada wamakabila mengine kila nikiwatongoza wewe ni kabila gani huwa na wajibu tu kuwa natoka kaskazini utasiki ahaa wewe mchagga? Nampotezea kiaina ila mwisho wa siku mambo barabara wacha tuendelee kutafuta pesa maana tulishajua pesa ndo kila kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…