Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Hakika,ila sema maisha ndo yalivyo hakuna kuogopa changamotoKibarua kitaanza na kuota nyasi.
Sisi ndiyo Simba SC AKA;Namungo FC imemtangaza rasmi Juma Ramadhan Mgunda, maarufu kama "Gurdiola Mnene," kuwa Kocha Mkuu wa klabu hiyo. Mgunda anachukua nafasi ya Mwinyi Zahera, ambaye sasa atakuwa mshauri wa benchi la ufundi. Kocha Mgunda atafanya kazi kwa kushirikiana na Ngawina Ngawina na Shedrack Nsajigwa katika benchi la ufundi la Namungo FC.
Kibarua chake cha kwanza kama kocha mkuu kitakuwa dhidi ya Simba Sports Club, mchezo utakaofanyika kesho Ijumaa, Oktoba 25, katika uwanja wa KMC Complex.
Kweli kabisa.
Mgunda ajawai kuifunga Simba tokea awe kocha wa timu yoyote Ile, ata Namungo anaenda kupoteza mbele ya Simba, Mgunda ni mwanachama mwaminifu wa Simba awezi kuchukua point pale zaidi anawasaidia kuzikusanya izo point🤣🤣Namungo FC imemtangaza rasmi Juma Ramadhan Mgunda, maarufu kama "Gurdiola Mnene," kuwa Kocha Mkuu wa klabu hiyo. Mgunda anachukua nafasi ya Mwinyi Zahera, ambaye sasa atakuwa mshauri wa benchi la ufundi. Kocha Mgunda atafanya kazi kwa kushirikiana na Ngawina Ngawina na Shedrack Nsajigwa katika benchi la ufundi la Namungo FC.
Kibarua chake cha kwanza kama kocha mkuu kitakuwa dhidi ya Simba Sports Club, mchezo utakaofanyika kesho Ijumaa, Oktoba 25, katika uwanja wa KMC Complex.
Kibarua kitaanza tuuh nakuota nyasi 😂