kalisheshe
JF-Expert Member
- Mar 19, 2020
- 2,064
- 4,056
Mechi na rivers mlikua bize na mke wa zimbwe JrHujasema unateseka ukiwa wapi?
Hata uwe smart vipi,ukishakuwa Uto ni tatizoHujasema unateseka ukiwa wapi?
Nipo[emoji117][emoji117][emoji117][emoji117][emoji117][emoji117][emoji28][emoji23] Mbumbumbu Makolo FC wanatia huruma yaaan wanafungua nyuzi nyingi kumtetea Mgunda mtaalam wa uchawi... Mgunda kocha wa makombe ya ndondo [emoji23][emoji28] Safari hii hadi Kocha wa Madenge FC mtamuita aje awasaidie
Huko taifa stars alisimama kama kocha mkuu au msaidizi?Mashabiki wa utopolo na baadhi ya wanasimba oyaoya, jengeni hoja kuanzia hapo, Nimewapa mwongozo wapi muanzie...
criteria za national team na clubs ni tofauti ndio maana Da Rosa alipo furushwa Simba akaenda kua coach wa National team MauritaniaMashabiki wa utopolo na baadhi ya wanasimba oyaoya, jengeni hoja kuanzia hapo, Nimewapa mwongozo wapi muanzie.
Ila mfahamu tu taifa stars ilicheza mechi za kimataifa zinazosimamiwa na CAF ikiwa na Juma Mgunda kama kocha mkuu.
MINOCYCLINE aka shabiki oyaoya pita hapa
Utanishukuru.
kwa hizi akili za watanzania sioni dalili ya taifa kusonga mbele kimaendeleo .
Timu yenye wanachama solid ni Yanga tu ambao wana database ya wanachama waliosajiliwa kiditaliHivi hawa wanasimba wanaopiga madomo huku, Wana Kadi ya uanachama, wamelipa ada? Au mnatoa mapovu tu wakati hata hamjui club inaendeshwaje?