Juma Mgunda alisimama kwenye benchi la Taifa Stars katika mechi zinazosimamiwa na CAF. Je, aliwezaje kusimama bila vyeti?

Juma Mgunda alisimama kwenye benchi la Taifa Stars katika mechi zinazosimamiwa na CAF. Je, aliwezaje kusimama bila vyeti?

kalisheshe

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2020
Posts
2,064
Reaction score
4,056
Mashabiki wa utopolo na baadhi ya wanasimba oyaoya, jengeni hoja kuanzia hapo, Nimewapa mwongozo wapi muanzie.

Ila mfahamu tu taifa stars ilicheza mechi za kimataifa zinazosimamiwa na CAF ikiwa na Juma Mgunda kama kocha mkuu.

MINOCYCLINE aka shabiki oyaoya pita hapa

Utanishukuru.

kwa hizi akili za watanzania sioni dalili ya taifa kusonga mbele kimaendeleo .
 
😅😂 Mbumbumbu Makolo FC wanatia huruma yaaan wanafungua nyuzi nyingi kumtetea Mgunda mtaalam wa uchawi... Mgunda kocha wa makombe ya ndondo 😂😅 Safari hii hadi Kocha wa Madenge FC mtamuita aje awasaidie
 
[emoji28][emoji23] Mbumbumbu Makolo FC wanatia huruma yaaan wanafungua nyuzi nyingi kumtetea Mgunda mtaalam wa uchawi... Mgunda kocha wa makombe ya ndondo [emoji23][emoji28] Safari hii hadi Kocha wa Madenge FC mtamuita aje awasaidie
Nipo[emoji117][emoji117][emoji117][emoji117][emoji117][emoji117]
 
Kwangu siwalaumu mashabiki wa Utopolo kwa vile ndo kazi yao kukandia.

Wanaonipa mashaka ni baadhi ya Wanamsimbazi wenzangu kuingia kwenye mtego.
 
Mashabiki wa utopolo na baadhi ya wanasimba oyaoya, jengeni hoja kuanzia hapo, Nimewapa mwongozo wapi muanzie.

Ila mfahamu tu taifa stars ilicheza mechi za kimataifa zinazosimamiwa na CAF ikiwa na Juma Mgunda kama kocha mkuu.

MINOCYCLINE aka shabiki oyaoya pita hapa

Utanishukuru.

kwa hizi akili za watanzania sioni dalili ya taifa kusonga mbele kimaendeleo .
criteria za national team na clubs ni tofauti ndio maana Da Rosa alipo furushwa Simba akaenda kua coach wa National team Mauritania
 
Hivi hawa wanasimba wanaopiga madomo huku, Wana Kadi ya uanachama, wamelipa ada? Au mnatoa mapovu tu wakati hata hamjui club inaendeshwaje?
 
Hivi hawa wanasimba wanaopiga madomo huku, Wana Kadi ya uanachama, wamelipa ada? Au mnatoa mapovu tu wakati hata hamjui club inaendeshwaje?
Timu yenye wanachama solid ni Yanga tu ambao wana database ya wanachama waliosajiliwa kiditali
 
Katika watu ambao sio wa kubishana nao ni mashabiki wa yanga akili zao ndogo sana wale jamaa watu smart wapo simba yanayotokea yote ni ajali kazini tu na hatua za kukua.
 
Kuendekelea kubishana na mwanautopolo ni matumizi mabaya ya muda na mdomo.

Huo muda ni vema ukautumia kumfundisha mbuzi kukokotoa hesabu atakuelewa kuliko kumuelewesha utopolo.

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom