Ulimakafu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 31,248
- 13,244
Nchi ya mihemko hii.Hivi Tff na Simba hawajisikii aibu kwa kumpa uraia Kibu?.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nchi ya mihemko hii.Hivi Tff na Simba hawajisikii aibu kwa kumpa uraia Kibu?.
Pole mkuu.Duuh haya bana
Sure mkuu bench la simba inasikitisha wakati upande wa pili wanaweza kufanya roration hata ya wachezaji watano na bado timu ikawa na balance na kupata matokeo, ila kwa simba ni tatizo hadi kocha haoni wa kuingiaBenchi limejaa wachezaji wabovu wasiokuwa na msaada wowote kwa timu,...
Kibu, Mkude ,Bocco, Akpan,Kapama,Okwa,na mazombie wengine lazima waondoke Simba..tusajili watu wa kazi....vinginevyo Utopolo ataendelea kutesa
Anamuiga Mayele sema yeye anawahi kutetemeka kabla ya kufunga goli kwanzaMgunda analaumiwa bure mchezaji kama kibu denis anafanya nini simba anapewa mpira anatetemeka tu
Hata akija Jose Mourinho,kwa benchi tulilonalo hakuna kitu atafanya.....Sure mkuu bench la simba inasikitisha wakati upande wa pili wanaweza kufanya roration hata ya wachezaji watano na bado timu ikawa na balance na kupata matokeo, ila kwa simba ni tatizo hadi kocha haoni wa kuingia
Imagine jana timezidiwa katikati mkude kachoka anakimbia kama konokono lakin kocha anaogopa lawama kumuingiza akapn
Duh hizi makusudi za kutoa droo ni nzuri sana.mimi ni utopolo kwa niaba ya utopolo wenzangu tunaomba makusudi zenu mikia ziendelee!!Tumetoa droo makusudi ili wamwachilie Muharamiiii
Naropokaga ukweliPole mkuu.
Naona wala mihogo wanakukosea eti unaropoka! 😰
Itabidi uache hiyo tabia.Naropokaga ukweli
Hee mbona huwa naongea yanayohus Simba na wala siwezi kuyabadilishaItabidi uache hiyo tabia.
Soka halitabiriki ukiripoka unaweza tafuta pa kujificha siku moja.
Mimi mla mihogo lakini navizia vya kusema au kuwananga Makolo.