Juma Mgunda atasimama kama Kocha Mkuu kwenye benchi la Simba SC dhidi ya Nyasa Big Bullets

Kuna muda bora usiongee kuliko kuonyesha ujinga uliotukuka yani watu wengi ni wajinga na hawana akili. Ni kama wanashindana na TFF hivi kweli taasisi kama hyo isijue kuwa Juma hana leseni na uongozi wa Simba wenye wasomi isjue hilo bado watu wana andika ujinga ujinga tuu.
Ni shida kubwa sana kwa mwenye akili kuwa katikati ya Wapunguani.

Hata hata hapa JF kuna watu nilikuwa nawaamini lakini kumbe hata wao wapo na mihemko ya wachambuzi wa hovyo hovyo ambao lengo ni upotoshaji tu.
 
Mpira unachezwa hadharani kama atakuwepo kwenye benchi iyo kesho si ataonekana tu, porojo za umbumbuni tushazichoka tunasubilia iyo kesho maana ata tff wamekuwa na makandokando mengi siku izi awaaminiki ata kidogo
Kwa kutambua kuwa mpira unachezwa hadharani, nafikiri mngesubiri kuona kama atakuepo kwenye benchi kabla hamjaropoka uzushi wenu. Kwakua mlizusha taarifa za uongo ni jukumu la TFF kuondos taharuki.
 
Ni shida kubwa sana kwa mwenye akili kuwa katikati ya Wapunguani.

Hata hata hapa JF kuna watu nilikuwa nawaamini lakini kumbe hata wao wapo na mihemko ya wachambuzi wa hovyo hovyo ambao lengo ni upotoshaji tu.
Watu wa hivyo nimeshawajua ni wapenda sifa na kutaka sifa za kijinga. Hawana akili,vitu viko wazi kazi kupindisha tuu.
 
Huyu nadhani ni wakufungia maisha
Sasa yeye mbona ni zeruzeru na hawezi kufanya lolote kujinasua kwenye hiyo hali? Si bora hata huyu mwenye tumbo kubwa anaweza kulirekebisha akiamua[emoji23].

Yani huyo mbuzi kafara kwa waganga, nae anapata nguvu za kushambulia mwonekano watu?
 
Mpuuzii sana sura mbayaaa pua kama injini ya trekta
 
Sasa yeye mbona ni zeruzeru na hawezi kufanya lolote kujinasua kwenye hiyo hali? Si bora hata huyu mwenye tumbo kubwa anaweza kulirekebisha akiamua[emoji23].

Yani huyo mbuzi kafara kwa waganga, nae anapata nguvu za kushambulia mwonekano watu?
Dah akija shinyanga ni kumtoa kafara simba tuchukue caf
 
Siku hizi nawapendaga bure TFF.
TFF Wanawapendelea mno Simba huku wakiwaonea Yanga, walianzia vibali kwa wachezaji na leo hii wapo na orodha ya wahitimu wa leseni A ya CAF

Ni wakati wa kuandamana kwenda kwa Rais wa Nchi[emoji16]
 
Kweli Manara kiboko yao kwahio imebidi TFF kuisaidia Makolo mgunda akae benchi
 
Hapa waliopigwa TKO ni Utopolo baada ya kupelekwa kichwa kichwa na Mfungwa wa Soka, MC wa Harusi Kule Kigogo.

Na aliposema ile Kauli yake kuwa wenye akili ni Jk na Sunday tu alikuwa na maana hii.

Wameonekana Wapunguani Yaani
 
Aden Lage aliwaita simba Mbumbumbu hakukosea... Mbumbumbu Wachawi FC naona mmelazimisha TFF wamuombee mgunda CAF ili akae benchi la ufundi aroge hakuna cha ziada... Mbumbumbu tupu
 
Back
Top Bottom