Ni shida kubwa sana kwa mwenye akili kuwa katikati ya Wapunguani.Kuna muda bora usiongee kuliko kuonyesha ujinga uliotukuka yani watu wengi ni wajinga na hawana akili. Ni kama wanashindana na TFF hivi kweli taasisi kama hyo isijue kuwa Juma hana leseni na uongozi wa Simba wenye wasomi isjue hilo bado watu wana andika ujinga ujinga tuu.
Akiminywa anakuja kwenye media kuomba serikali imsaidie kumbe ukorofi anaanza mwenyewe shauri yakeHuyo ni mgonjwa kuanzia ngozi yake mpka akili zimelemaa
Kwamba TFF haihusiki na club za mpira za Tz au, Coastal na Simba Sc ni vilabu vya wapi?TFF wanajiabisha, wao wanahusikaje kwenye mambo ya Simba na Coast?
Kwa kutambua kuwa mpira unachezwa hadharani, nafikiri mngesubiri kuona kama atakuepo kwenye benchi kabla hamjaropoka uzushi wenu. Kwakua mlizusha taarifa za uongo ni jukumu la TFF kuondos taharuki.Mpira unachezwa hadharani kama atakuwepo kwenye benchi iyo kesho si ataonekana tu, porojo za umbumbuni tushazichoka tunasubilia iyo kesho maana ata tff wamekuwa na makandokando mengi siku izi awaaminiki ata kidogo
Watu wa hivyo nimeshawajua ni wapenda sifa na kutaka sifa za kijinga. Hawana akili,vitu viko wazi kazi kupindisha tuu.Ni shida kubwa sana kwa mwenye akili kuwa katikati ya Wapunguani.
Hata hata hapa JF kuna watu nilikuwa nawaamini lakini kumbe hata wao wapo na mihemko ya wachambuzi wa hovyo hovyo ambao lengo ni upotoshaji tu.
Sasa yeye mbona ni zeruzeru na hawezi kufanya lolote kujinasua kwenye hiyo hali? Si bora hata huyu mwenye tumbo kubwa anaweza kulirekebisha akiamua[emoji23].Huyu nadhani ni wakufungia maisha
Mpuuzii sana sura mbayaaa pua kama injini ya trektaSasa yeye mbona ni zeruzeru na hawezi kufanya lolote kujinasua kwenye hiyo hali? Si bora hata huyu mwenye tumbo kubwa anaweza kulirekebisha akiamua[emoji23].
Yani huyo mbuzi kafara kwa waganga, nae anapata nguvu za kushambulia mwonekano watu?
Dah akija shinyanga ni kumtoa kafara simba tuchukue cafSasa yeye mbona ni zeruzeru na hawezi kufanya lolote kujinasua kwenye hiyo hali? Si bora hata huyu mwenye tumbo kubwa anaweza kulirekebisha akiamua[emoji23].
Yani huyo mbuzi kafara kwa waganga, nae anapata nguvu za kushambulia mwonekano watu?
Kulipewa Mwana...! PettymagamboKulitaka mwana! mwana kulipata.
Hao makocha karibu 50 ni wa SimbaTFF wanajiabisha, wao wanahusikaje kwenye mambo ya Simba na Coast?
Anapanga koni kwa amri ya boss Matola.Zile bhah bhah zenu kuwa hana vyeti muendelee kubaki nazo nyie wenyewe na wale wachambuzi wenu.
Guardiola Mnene ana leseni A ya CAF anaongoza Jahazi la Mnyama Mkali Mwituni Simba SCView attachment 2351175
Kufanya nini wakati najua Timu Bora kwa sasa Tanzania ni Yanga SC na Mbovu ni Simba SC? Na Kesho inafungwa Malawi na marudiano hapa Dar es Salaam inaenda Kufungwa zaidi.MINOCYCLINE njoo huku...
Hapa waliopigwa TKO ni Utopolo baada ya kupelekwa kichwa kichwa na Mfungwa wa Soka, MC wa Harusi Kule Kigogo.Kweli Manara kiboko yao kwahio imebidi TFF kuisaidia Makolo mgunda akae benchi
Hatutaki.Ile Kauli kuwa Guardiola Mnene hana vyeti hamtaki tena..!?
Aden Lage aliwaita simba Mbumbumbu hakukosea... Mbumbumbu Wachawi FC naona mmelazimisha TFF wamuombee mgunda CAF ili akae benchi la ufundi aroge hakuna cha ziada... Mbumbumbu tupuHapa waliopigwa TKO ni Utopolo baada ya kupelekwa kichwa kichwa na Mfungwa wa Soka, MC wa Harusi Kule Kigogo.
Na aliposema ile Kauli yake kuwa wenye akili ni Jk na Sunday tu alikuwa na maana hii.
Wameonekana Wapunguani Yaani